MO DEWJI AKANUSHA KUJIUZULU SIMBA - 'ILIKUWA BAHATI MBAYA'

preview_player
Показать описание
“Kilichotokea kwenye akaunti zangu jana kilikuwa ni bahati mbaya, tuko pamoja, tunarudi kwenye ligi tukiwa na nguvu , tunajipanga kwa ajili ya ligi, nawapongeza Mtibwa kwa kuchukua kombe, mimi ni Simba damudamu, nitabaki kuwa Simba".

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kila shabiki, mwanachama wa Simba na hata pia wachezaji wameumia kwa kilichotokea Zanzibar. Ukweli unabakia palepale kwamba mpira una matokeo matatu. Lakini hii haina maana kwamba wachezaji haswa wa timu kama Simba wasijitume. Wakumbuke kuna watu nyuma yao wanaipenda Simba na wanaumia sana kwa matokeo ya hovyo. Wakilijua hili watajituma. Simba nguvu moja.

jonamnyone
Автор

Yanga wana la kujifunza katika hili. Iwapo Yanga nao wanataka kwenda kwenye mfumo wa kisasa wa uendeshaji klabu nawashauri wawe na wawekezaji zaidi ya mmoja.

ramadhanabas
Автор

Niliwaambia asbh kuwa Mo yupo sana simba mtasubiri sn mmeonaeee

sapzuuramadhan
Автор

Hahahahahaha huyu jamaa ipo siku ataua watu nyie subirini

rachelbujuli
Автор

Angejitoa hata kwa uwekezaji, haba jipya muhindi koko huyo

minaside
Автор

Simba hawajamjua adui yao wa. Soka ni nani

simbamaduhu
Автор

Weee Mo ..kumbuka walioua Soka la Tz ni Azim Dewji na Abasi Gulamali (marehem) ..enzi zao...hawakutofautiana saana na ulivo ww ss... Yote kwa yote nyie Wahindi mpo kibiashara zaidi.

amanafi
Автор

pumbavu zemu muna hahaha nini kwani akijitoa munapata hasala mutegemea chanduguyeee

erickbeneth
Автор

simba mumeolewa 🤣🤣🤣🤣 talaka itatoka sio muda mrefu 🤣🤣🤣🤣☝️☝️

lidriclidric