BARAKA ZA MWAKA MPYA

preview_player
Показать описание
Karibu uweze kusikiliza na kutazama wimbo mpya wa Mwaka mpya kama ulivyoimbwa na Ray Ufunguo akishirikiana na Trizah Maru, Mercy Mutiso, Moreen Amayo & Mark Miller.

Wimbo huu ni utunzi wake Mark Miller

Audio na Video vimefanywa na RAJO Productions
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

i couldn't support these voices, tears fall on my cheeks, you're just amazing Ray Ufunguo My

elielenfantbeni
Автор

Kazi safi sana! Wimbo mtamu!
Hongereni sana🎉 and happy new year!🎉

anastaciamuema
Автор

My bro my support kaka Mungu akutunze Kwa huduma kubwa kama hii heri y mwaka MPYAAA

edwinkamala
Автор

This was extra amazing ❤️❤️❤️
Na Mungu atubariki sote🙏🙏

mercymutisomusic
Автор

Kweli Mungu ni pendo🙏. This is a job well done. Hongera kwenu nyote👏👏

faithatieno
Автор

Amen🙏 good song👏👏 Baraka za Mungu ziendele kuwabariki katika utume wenu wa kuinjirisha🥳🥳🥳 happy new year 🌹 piaa kwenu🥰🥰

rodalukuwi
Автор

Amazing voices @triza and @mercy..
Nice piece. Heri ya mwaka mpya kwenu Pia na baraka Tele.

vickynash
Автор

Excellent, excellent, excellent!!
Bila shaka hii collabo ya Tanzanians na Kenyans. Mbarikiwe sana watoto wa Mungu.

michaelmaganga
Автор

I have been following ur videos bt this one and Asante Yesu are a total blessings to me...can't hold tears for the sweet voices ....may God bless Ray and all those that support his ministry

luciakinuthia
Автор

Asante Kwa wimbo Huu, hakika tumeuona mwaka Mpyaa. Ni Kwa Neema tuuuu
Heri ya mwaka Mpyaa kwenu pia.

mapendoglory
Автор

Asante.
Wimbo mzuri sana🙏🏿
Nimebarikiwa kuuanza mwaka na huu wimbo.

arnoldrutaihwa
Автор

Beautiful song 🔥🔥💯💯, , KAZI Safi kabisa

Prisca_Regine
Автор

Ningependa unifunze mzika Bwana Ray, sauti zenu zinanyoosha roho yangu, napenda mziki wako sana.

magogobonyonte
Автор

Beautiful song, beautiful voices. Well done good people.
Amayo nakuona

jennykaluai
Автор

Greatest of all time (Rajo Productions)

musamabogo
Автор

Hongereeni sana Trizah, Mercy, and the entire team👏👏👏
Happy New Year✨✨✨

martinmunywoki
Автор

Sending some love from Kenya, Isebania Border Ray Ufunguo ❤️. Kazi Safi

kalokijane
Автор

Kazi nzuri Ray ufunguo, naona Mwalimu wangu Markmiller, Heri ya mwaka mpya kwenu pia🙏

lopusingiromoses
Автор

Hongereni wimbo mzuri sana... Tunamshukuru Mungu kwa ajili yenu .

kwekalucasferan
Автор

Tulianza mwaka tukiwa nao, leo hawapo, kweli tumechaguliwa. Mungu azidi kuwabariki.

akwomigodwin