hizi ni FAIDA za mzungwa / french thyme

preview_player
Показать описание

Zipo za aina nyingi japo zinafanana kimatibabu kipindi cha Corona virus🦠😷 mmea huu ulijipatia umaarufu nchini 🇲🇬 kwa kuwa uliponya watu wengi

Ukitaka kujifunza zaid tafuta majina haya ya kisayansi
Scientific names :coleus aromaticus. Coleus ambonicum,. Plectranthus ambonicus
Borago officinalis

Wengine huita Mexican mint/oregano, Indian borage, French thyme, Spanish thyme, soup mint, cuban oregano

Hapa kwetu ni mmea umeanza kutumika zamani Sana kwa kila makabila
Wahaya _Ekijera/ kitatelante
Zanzibar_Mpata kuva
Kibosho_ikingi/itolo
Kusini, pare,sambaa_MZUNGWA

FAIDA ZA COUNTRY BORAGE (MZUNGWA) /IKINGIli
1. Tiba ya asthma
2.Tiba ya chango kwa watoto na watu wazima
3.Husaidia kukata maumivu ya tumbo kwa haraka
4.Husaidia changamoto za figo
5.Husafisha damu
6.Husaidia Sana akina mama kwenye siku zao ndo maana huitwa queen of herb
7.Hutibu mafua
9.Hutibu nyama za pua
10.Husaidia usizeeke mapema
11.Husaidia nywele na ngozi
12.Hushusha homa kwa haraka
15.Tiba ya U. T. I
16.Dawa nzuri ya upele
17.Dawa ya ngiri
18.Husaidia kidonda kufunga haraka
19.Husaidia kitovu cha mototo kukauka
20.Husaidia kufua kubana,, korona
21.Dawa nzuri ya viungo
23.Husaidia wanawake kupata ujauzito inaamsha mayai. Hutumiwa kipindi cha
siku za mwanamke
24.Husaidia maumivu wakati wa hedhi
26.Hutibu kikohozi
27.Dawa nzuri kwa kifafa

Wengi mnauliza tunafaidikaje kwa elimu nzuri tunazotoe za mimea lishe. Jibu ni hili tunaagizwa kuwatafutia dawa wanao hitaji na pia tunatoa maelekezo ya matumizi ya dawa hizi kwa 10000 tu wiki ijayo bei itapanda

Kuuliza maelezo ni 10000

Ni elimu kubwa ya kuokoa uhai na kukupa afya ndo maana Ada yake ni ndogo 10000 Ila kujifunza kilimo online Ada 50000

Phone call 20000
Muamala what's up tuanze kazi

Tigo pesa
Misheck Lwenje
0652553944

Mjamzito haruhusiwi kutumia dawa hii ni hatari kwa mimba hasa changa
Huduma za muche piga simu hiizi bure
068453567/0672568516
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Tuliza mikono basi tuone hilo ni jani gani kwani?

marymlewa
welcome to shbcf.ru