Serikali yakanusha kuingilia uchaguzi wa Kenya

preview_player
Показать описание
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mh. Augustine Mahiga amekanusha taarifa zinazosambaa kupitia mitandao ya kijamii na kuripotiwa na baadhi ya vyombo vya habari hapa nchini kuwa Tanzania inaingilia uchaguzi wa nchini Kenya kwa kuweka mitambo ya kuhesabia kura katika wilaya ya Kigamboni Jijini Dar es Salaam.
Рекомендации по теме
welcome to shbcf.ru