Rayvanny - Come

preview_player
Показать описание
Get The EP On Your Favorite Platform👇👇

Track No.2 From New Chui EP

Follow Rayvanny On:

For Bookings:

#NewChui #Rayvanny #Come
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Hivi rayvany kwanini huu wimbo hukutaka video

malianonicass
Автор

sawa bazenga wa mine unajua nakuaminia you never disappoint wasee wa kenya and kanairo

honstephenngigi
Автор

Hii Ndo Nyimbo Sasa Rayvanny, Sauti Yako Inafit Humu 🔥🔥🔥✈️✈️✈️✈️🙌🙌🙌...Hii Nyimbo Itafika Mbali Trust Me

einsteinmboje
Автор

Vanny hii nyimbo ukiweza tafuta connection ufanye remix yake na Chris Brown, I really like the song mzee

collinspius
Автор

Chui chui chui umeuwa sana kizazi sana embu wafundishe wamakonde kingereza😁😁

feisalmunis
Автор

Chui hii ngoma angekuwepo na Simba bhn

paulmorisy
Автор

Chui nakukubali sana chui unajuwa sana kabisa ila tunaitaji Abby chams NEXT MUSIC

bienvenuemauridi
Автор

Rayvanny this track is one of the greatest of all tracks have ever heard.

kiokomutua
Автор

Tuendelee na E P yetu!!!inasumbua sana 🌍hadi mmakonde awehuka😃😃😃
Chuiiii 🐅🐅 fanya maangamizi bhana unatisha 🌍
Kwasasa uko tishio Africa 🔥🔥
#NLM🦅🦅🦅
#WCB wasafi

dieudonnebigirimana
Автор

Toa video halafu toa na Collabo ukiwa na fire boy au Wizkid, everyone is gonna fancy your work soon on tiktok na insta shots wataanza kukitumia ki ngoma. Keep it up Vanny, hii sio ngoma kali ni killer hit... Come #1

Risid_
Автор

Jaman hiki kipaji tukiache tu maana kinatoa nyimbo kama kinaumwa🤣🤣🥰❤️❤️❤️❤️

mwaisamtumbadi
Автор

Kuna muda i started doubting u when yo songs started sounding the same ila This EP umeuaaa. Dope dope dope errthang on point

thatforeign
Автор

Dah! Niliamka na stress kibao.... Ilaaa.. Dah!!!! Hii ngoma imeludisha MOOD Kaliiii

druumarley
Автор

much love vanny boy ....wakenya wenzangu where are you😘

lilianwaceke
Автор

Wuu yaaa yiii aaah wuuuu sss-sh***t hu! Baby am coming, dah aisee am speechles🙌🙌🙌🙌 he is a king👑

salhamoshi
Автор

Huyu jamaaa anaweza kuimba hata ahangaiki ep ya siku tu ila kuna watu mpk mwezi hlf hawalali🔥🔥🔥

philbertemmanuel
Автор

Wanakuchukulia pow ila kama ww kwa tz sijaona 👌

kendrick
Автор

Vaaaany shout out to zombie he did it as makes me say wuuu Haaa yiiii Oya sio poa 🐯

gulainnahayo
Автор

Dah kwa mara ya kwanza nimekaa naskiliza wimbo wa vanny boy na ukaniteka kwa hapa nashusha majeshi umeua

salummohamed
Автор

Rayvanny umekamia hiase mbona umeua kila kitu hapa kuna cha only one king wala H.School, , , WCB4life &NLM4life

alexandersangi