MAAJABU YA KINYONGA KWENYE KINGA DHIDI YA WEZI NA MAADUI

preview_player
Показать описание
Nitaelekeza moja ya Kinga ambayo ni nzuri kwa KUKINGA watu wabaya ,wachawi wesi ,,,kwa matumiz ya kuchanja ,,,chukua kinyonga muweke kwenye chungu ndan ya chungu weka gome la kishinda uchawi lililovunwa kwa kuchinjia kondoo ,,chukua mbegue za msike msike wengine huita lufyambo,,weka mpini wa jembe uliokatikia kabulini weka visiki vya njian ,,weka msisi ulifukuliwa kabulini ,,,kachimbe mti wowote ulio kabulini chukua mizizi ,chukua mti ulioanguka njian na ukazuia njia na njia ikahama ,,,vyote hivi weka ndan ya chungu Kisha kifunike na chungu Kisha funga na nguo nyeusi weka sehem tulivu mpaka siku ya sawa icho chungu Tenga kwenye Moto unguza vitu vyote ,,,,matumizi kwa Kinga chanja miguun mikononi na kichwan ,,,Kama we mganga usichanje kichwan tumia mafta ya kondoo mweusi ,,,kwenye mji tumia miti ya mputika au kokoto ulizotoa kwenye jiwe la njia panda na ukitaka kwa kuzuia wezi endelea na fomla hii chini hapa chini👇🏽*
Na ukitaka dawa hii uitumie kwenye Mali yako wasiibe

Chukua chura wale wanaopatikana masika
Mfunge kwenye nguo nyeusi kamchimbie njia panda siku 7 Kisha fukua na saga upate unga

Matumizi

Chukua hii dawa changanya na iyo ya awal ya kinyonga changanya pamoja

Chukua Ile miti inayoota kando mwa Bahar au ziwa ambayo wavuvi hutumia Kama maboya

Katakata vipande
Vipakae hii dawa kwa kutumia mafta ya mamba au kenge

Namna ya kutengeneza izi Mambo pigilia Kona za nyumba ukiwa umefumba macho

Alafu Kati kati ya mji chimba shimo weka chungu kipya

Weka iyo dawa Kisha chungu kifunike nguo nyeusi maji ya kwenye chungu yawe ya mto,ziwa au bahari Kisha fukia
Fanya dawa hii usiku uwe umevua nguo au umejifunga nguo nyeusi na usoni jifunge kaniki

Kwaiyo mwizi akija atakutana na mto au ziwa ata Bahar yategemea na maji umetumia yapi

Nukuuu
*Elim hizi hautazipata popote dunia haswa kirahisi namna hii*

0752857340
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Jamani unawafundisha watu, au hutaki ? Kwanza fujo, uko halaka, tena hujali wanafunzi

wakongolokakudji
Автор

Jamani tunashangaa nawewe, unatufunza nafujo za santuni ikiwa juu, tena uko halaka na hau eleweshi hata kimoja .

wakongolokakudji