MWIZI WA CHAPATI

preview_player
Показать описание
Wakina dada acheni wizi kazini hata kama ndio kupambana na kulipa madeni lakinni sio hivyo jamani... Aibu kwa KIBOGA
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Leo Joti Kauwa 😂😂😂😂😂after the long wait Leo joti kauwa 😂

davismtui
Автор

😂😂😂😂😂😂😂Kiboga anakula chapat za wateja 😂😂😂😂😂😂😂😂

cristaezekiel
Автор

Hilo tabasamu la meneja sasa😂😂😂chapati piza 😂😂😂

ablemethod
Автор

I love you please continue making more za kibogaaa ina furahisha sana ✨✨✨✨💯💯💯🤣🤣🤣

LisaHenryN
Автор

Walah nime cheka leo mpaka nime anguka kwenye kitanda apa mamaeee joti we habar ingine na ndo tabia zao ao wasenge manina zao ata kiagiza kuku wanatoa vipande😂😂😂

rashdiyange
Автор

😂😂😂mna bahati boss kaniludisha kazini😂😂😂😂

HASSANALALLY
Автор

Jamaa kageuka na kuwapa dole wateja Kwamba kila Kitu ni Sawa amenimaliza😅😅😅😅😅

juanajuan
Автор

Dah tulimmic sana kiboga Bora amerudi.

RazakiMatochi
Автор

Huyu dada ndo mimi kabisa, Kwa kulalamika utadhani analipa yeye hizo chapati😂😂!

jenymtafya
Автор

Noma sana nakubali umetisha sana kibogaa😂😂😂

ikramjackson
Автор

😂😂😂hujawahi kuona chapati imekatwa mshamba ww nenda hotel nzur ule vizur

sumaadamson
Автор

Napenda joti akicheza character ya kiboga, hongera sana hakika unajua, wanaopenda kama Mimi like hapa

samiasalum
Автор

Jamaniii wenye hizi kazi Leo tumefikiwa😂😂😂❤❤❤❤

babynaash
Автор

😂😂😂😂😂😂Chapati elf tatu? 😂😂😂😂😂sema zinaonekana tamu sana 😋😋😋😋😋

cristaezekiel
Автор

Amechekesha vzr lakni umetufunza kwa habari ya uaminifu, uaminifu bora sana katika mazingira yetu

Festoakwilambo
Автор

Tunataka za kiboga za kutosha...⚡️⚡️⚡️⚡️🤣🤣🤣

SaimonPaul-rv
Автор

😂😂😂😂😂Chapati anatoa kwenye maziwa 😂😂😂😂😂

cristaezekiel
Автор

Vikababu na vikabibi 😅😅😅😅😅😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 joti wewe ni noma sana

enjobw
Автор

Aliyegundua location ya ni shishi food gonga like🥰

davidmsigwa
Автор

Content nzuri sana big up kwa uwepo bado🎉🎉🎉

ChingaKenboy-fzyr