filmov
tv
Wizara ya elimu yaonya kuhusu usajili haramu wa KCPE
Показать описание
Wizara ya Elimu imetoa onyo kwa shule ambazo zinashirikiana na wazazi kuwasajili wanafunzi wa gredi ya saba kufanya mtihani wa KCPE mwaka huu. Kupitia barua iliyotumwa kwa wasimamizi wa elimu kote nchini, katibu wa elimu belio kipsang anasema wameagiza maafisa wakuu wa elimu kutathmini upya sajili za wanafunzi waliokamilisha gredi ya sita nchini