TENZI NAMBA 77.MSALABANI PA MWOKOZI.

preview_player
Показать описание
MSALABANI PA MWOKOZI ni neno lenye maana kubwa sana.
Katika wimbo huu wa MSALABANI PA MWOKOZI unakukumbusha wewe namna gani Yesu Kristo aliifanya kazi ya ukombozi hata akasema imekwisha.
Baada ya kusikiliza wimbo huu kwa umakini katika Roho ndipo utakapogundua kuwa maisha ya wokovu wetu ni pale msalabani pa mwokozi.
Tumia wimbo huu kukuweka karibu na Mungu.
#gospelmusic #music #nyimbozatenzi #worshipmusic #gospelmusic
Follow us on facebook;

Subscribe to this channel for more videos.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mpenzi wangu ni mwana wa Mungu aliyeimwaga damu isiyokuwa na mawaa kabisa

jeniffermasha
Автор

Barikiwa mtumishi kwa huduma hii tunabarikiwa sana Elizabeth ELIYA

ev.elizabetheliya
Автор

Barikiwa mwana wa Mungu hongereni kwa kuujenga mwili wa kristo, nyimb hizi sina nguvu ya Mungu aliyee hai..

gfydfdf
Автор

Ninabarkiwa sana mtumishi mungu akujarie

MagrethKaulamba
Автор

Napenda nyimbo zako kaka...neema tele kwanza salama unibariki zaidi

lucynzau
Автор

Mungu azidi kuwalinda na kuwapigania katika huduma aliyoweka ndani yenu.
Kazi nzuri iliyojaa utukufu wa Mungu awabariki sana Sana

buyoyaemanuel
Автор

"Icho kijito cha gharama leo jivike kwa kuzama kwake uone uzima" Mungu azidi kukuinua mtumishi!

johnniima
Автор

I really love this song it blses me much.

ElizabethOliwa-tloq
Автор

God 🙏🙏🙏 blessed you guys tomorrow keep this song up again brother dinu, zenu ❤

VaneM-sd
Автор

Msalabani alitupa wokovu amen Mtumishi

peacedamaris
Автор

I am truly blessed. More grace brother

nancymungai
Автор

Nyc songs nyc voice. God bless u bro. Hav downloaded few songs from u!!

robertmwaniki
Автор

Damu ya Yesu ya thamani huniokoa ..., .

Barikiwa sana mpendwa

wannaproducts
Автор

God bless you man of God, since I started listening to this songs my life has really changed 🙏

markmakokha
Автор

Barikiwa mtumishi wa mungu hakika akujalie heri nyingi katika utumishi huo, kutoka Zanzibar Island-Tanzania

mustapherntenga
Автор

Ubarikiwe sana Kaka kwa huduma hii iliyoanzishwa moyoni mwako! Mungu akupe afya njema

janesiulapwa
Автор

BwAna. Asifiwe. Nicholas. Maganga. Nanyuki. Kenya. Natamani. Tishart. Za. Dini zenu. Nawaomba. Tu. Na. Mubarikiwe asante

nicholasomanga
Автор

Nimebarikiwa sanaa. Mungu akulinde daima bro

lilyzeno
Автор

Amen brother for your hymes may God bless you

susankhamasi
Автор

I'm blessed by your songs Brother. May He annoint you once more. God bless you

mediatricksimbosa