KALE NILITEMBEA. TENZI ZA ROHONI.

preview_player
Показать описание
JE! UNAUONAJE MFUMO HUU WA KUWEKA WIMBO NA MANENO YAKE? TUJULISHE TAFADHALI. ASANTE SANA.
Subscribe to this channel for more videos.
#dinuzeno
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

USIFIWE msalaba wa YESU lisifiwe kaburi BWANA linalozid yote, mungu tusaidie ili tuendeleee kukujua wew zaid katika maisha haya

WITNESSMATHAYO
Автор

Nimefarijika usifiwe msalaba, , lisifiwe kaburi, , , linalo zidi yote, , Asifiweeee Mwokozi wangu

luhambamerere
Автор

Wimbo huu unanibariki sana. Ubarikiwe mwimbaji wa huu wimbo

elinemchome
Автор

Mungu wangu Umkumbuke mtumishi aliyaabdika wimbo huuu ASIFIWE YESU WA MSALABA🙏😭

NuhuEliasi
Автор

TUANDIKIE HAPA, JE UNAUONAJE MFUMO HUU WA KUWEKA NYIMBO NA MAANDISHI YAKE?

DinuZeno
Автор

Nasikia kubarikiwa kupitia huu wimbo mungu awaongoze muundelee kumtangaza kupitia tenzi za rohoni

setybanyomoza
Автор

Amen napenda nyimbo za tenzi nimebarikiwa sana

AnnaAnna-nr
Автор

Amen 🙏, nitajitahidi ningie mbinguni, asifiwe mwokozi

benterchepngetich
Автор

Hallelujah.. usifiwe msalaba huu ndiyo ufhihirisho wa upendo wa kweli ambao hatuwezi kupata kwa mtu yeyote.Asante Yesu kwa ukombozi.

labumjengi
Автор

Safi kaka, umefanya vizuri kuandika maneno, mungu akubariki kwa nyimbo nzuri zenye utukufu

losiokilekinyi
Автор

Hii stly iko sawa sana juu inamwongozo mzuri..big up wajameni...

DavidKapacha
Автор

Umenibariki sana ni mzuri mbarikiwe sana

CresenciaMahembega
Автор

Bwana wetu YESU KRISTO ASIFIWE SANA Barikiwa sana mtunzi WA hii tenzi

stephenkihongozi
Автор

Haleluya nimebarikiwa saana mtumishi.
Mungu azid kukuinua.

hildernelson
Автор

Hallelujah!! usiwe msalaba, lisifiwe kaburi, asifiwe mwokozi,

mshanimacka
Автор

Mbarikiwe sana kwani nimebarikiwa mno na huu wimbo

mpokihebron
Автор

Mmenibariki Sana'a watumish wa mungu

robertsangawe
Автор

Blessed song
May the Lord lift you and move you to places to spread the word

josekawere
Автор

Wonderful hymn. Asifiwe Barikiweni nyote, AMINA.

bingobing
Автор

Nakupenda bure nyimbo zako zinanipa faraja Kila nikikata tamaa nakukumbuka nyimbo zako mtumishi

EvaJulius-it