DC SABAYA AJIBU TUHUMA ZA KUCHUKUA RUSHWA KWA MFANYABIASHARA

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Huyu ndiye mkuu mkoa rais mm namuona anafanya kazi vizuri

oscarmbedule
Автор

Uzuri huyu DC akienda Field.. Anakua yupo WELL DETAILED. VIONGOZI KAMA HAWA NI ADHIMU SANA KUWAPATA

dennismalima
Автор

hata sasa bwana yu nawe, nakujua vema unavyoipenda haki najua nguvu yako katika kusaidia wanyonge.najua hiyo ni micezo ya siasa ya kukuchafua ila pambania haki hon.mungu yu upande wako, malalamiko ni zaifu sana hayana mashiko kwa wanaotafakari jambo.big up hon

olathomya
Автор

Kazi kwenu wataalamu was saikolojia ya maongezi'( speech psychology)

jamesassanga
Автор

Wanamuchfria tuu sababu anafanya Kazi safi Sabai wasamehe bole

priscadaniel
Автор

Haya sio majibu dc usitafute huruma kwa bibi

agethndisa
Автор

Huyu bibi sio yule chariii wa Araaah alikua anasema "amu ovulesi mjukuu wangu yani nimechanganyikiwa kabisaa" hahahaha. The brother is corrupt.. Ni clear kabisa bibi kasetiwa hahaha

georgerwebembera
Автор

DC amelikoroga.. Huyu bibi anaitwa Chalii ya Ara.. anauza ndizi pale Kimandolu.. Amepangwa hapo akajifanye anamiliki shamba Hai.. Ujinga huu

richardrogers
Автор

Mwizi tu huyu dc
Nashangaa. sana mpaka hii Leo inakuwaje yuko Kazini daah

1 second ago

allineadocabrones
Автор

Jamaa ajibu hoja za rushwa... asitafute huruma kwa bibi..

shimaferuzi
Автор

Shida ya hili lijamaa lilishawahi kujifanya USALAMA WA TAIFA likastukiwa ila kwa kuwa alikua diwani wa CCM ikafunikwa ikapita, sasa kaingia tena kwenye scandal zile zile za kwake za siku zote kutakaga rushwa

brysonmeena
Автор

Tatizo la magu ana double standard sana... Utashangaa wala hatochukuliwa hatua Ila Fanya wewe au mm Kitambo sana tungekuwa

neemalazalo
Автор

Mungu anajua ukweli na kama unatumia guvu ya dola Lakini Mungu atatumia guvuzake utaumbuka sikumoja tu. tubu sabaya. Ulichukuahelaukampa bibi au

lightm
Автор

Huyo bibi kapangwa na dc bibi mnamkumbuka ashatrend sana clip yake bibi wa arusha msela sn bibi ni hiphop kinyama

husseinibnuhassan
Автор

Sasa huyu sabaya ana kesi ya kupokea rushwa leo hii ana jifanya kumtetea bibi

ilynpayne
Автор

Huyu dogo hyo pesa hajala ila jamaa kamtengenezea mazingira kwa misimamo yake!pia huyo jamaa yaonekana nimwana siasa wa upande wa pili hahaha dogo anamjua magufuri hawezikula

stevemwakisimba
Автор

Acha kutuzingua huyo bibi tunamfahamu chali ya ara na hao wananchi wanaonekana ni wakupangwa tu

audifacejosephat
Автор

Huyo Sabaya hafai kuwa kiongozi kabisa anatumia mamlaka ya ukuu wa wilaya vibaya maana anatetea Hadi matapeli na wezi huyuu

jacobelias
Автор

Nyinyi watu mtachomwa motoooo, umezungukaaa weee kumbe hasira ni yupo charms,

Rosemary-sllb
Автор

Piga kazi nirazima uwe waziri wetu tunakuombea

oscarmbedule