DC SABAYA AINGILIA KATI, SAKATA LA MAITI KUZUILIWA HOSPITALI YA KCMC...

preview_player
Показать описание
DC SABAYA AINGILIA KATI, SAKATA LA MAITI KUZUILIWA HOSPITALI YA KMCM...

Serikali wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro imeahidi kufatilia mwili wa, Bi Bauda Nkya, wa Kijiji Cha Nshara kata ya Machame kaskazini, uliozuiliwa katika hospitali ya rufaa ya kikanda ya KCMC, baada ya familia yake kushindwa kilipia gharama za matibabu zaidi ya Shilingi milioni 3, alizokuwa akipatiwa matibabu kabla ya kifo chake..

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:

⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)

⚫️ OUR PLAYLISTS:
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Hakuna anae kuona ukifanya Hilo na ndio mana hawajasema lolote. Mungu akubariki ktk Hilo

josephvenus
Автор

Afisa habari umeshinda mochwari ukifanya nini? Acha uongo wew

marcynhumbi