MAJINA MAZURI YA KIUME YA WATOTO WA KIISLAMU & MAANA ZA KILA JINA MWAKA 2022

preview_player
Показать описание
Majina mazuri ya watoto kiume kiislamu au kiarabu. Maana ya jina Yasir, jina la Faisal & jina Nasir zipo katika video hii. Majina kwa watoto wa kiume & majina ya kiislamu pamoja na asili na maana zake. Tazama kisha Subscribe @majinamazuri 🙏

Jina asili ya kiarabu Yasir 0:10
Jina la kiume Faisal 0:33
Jina la kiislamu Nasir 0:58

***MUSIC IN THIS VIDEO***
Swinging with the Sultan_Doug Maxwell (YouTube Audio Library)

#majinamazuri #majinayakiume #jinalakiislamu #watotowakiislamu #maanayajina #jina #Yasir #Faisal #Nasir #jinalakiume #jinalakiarabu
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Samahani naomba kujua Mudrick maan yak Nini plz

AbdiTwahiru-kfud
Автор

Samahan inawezekana jina hamida ikaanza na Aminada

JovinaJovinus
Автор

Samahan Naomba kujuwa maana ya jina sameer

JovinaJovinus
Автор

Assalam alaykum mm natak kujua man ya jina naufal

YassirallyMohd
Автор

Asalam aleykum naomba kujua maana ya jina SALAH

MamaSalah-db