MISSION IMPOSSIBLE [53]

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Eeeh mwenyezi mungu tusamehe waja wako na adhabu ya kabuli na kila atakae Soma comment hii Bax mungu ampe maisha mengi Amin ❤

Puchuanitz
Автор

Jaman chado masta dakika ongeza mda kwenye mission impossible ombi tu🙏🙏🙏🙏🙏

KanalidaOg
Автор

Kula chuma iyooo...manyonga mtu mbayaa sanaa dadek😂...gonga like nyingi kama movie inanoga

kidd_alpha_kidd_money
Автор

Dingi dingii au dingaiiii😂😂😂...chado wanimaliza kaka mkubwa +254

mbarakabdalla
Автор

HATA NINGEKUWA WAKWANZA. MSINGELIKE MNA ROHO NGUM SANA😂😂😂😂

jofreyburton
Автор

Hio millioni kumi chado Kaichukue kwa yule mdada alie kuleta mauwa.ila fwata masharti yake umuowe Kisha umuokoe mzee wa misumari😅😅😂😂

KhamisiOmari-yojx
Автор

Jamani huyu MWENYE miguo myeusi ndo alimkaba ebu kama nawewe unaamini gonga like hapo chini

RoseGideoni
Автор

:Jamani Msipende kukaa Madirishani Kwenye daladala Nimepigwa kibao Na mpiga Debe Kisa Konda Hajampa Hela yake😢

DeeDan-sjmr
Автор

Wa 700 naombeni like😭😭 mungu awabaliki🙏

NajmaHamady-ng
Автор

❤wa kwanza kuwatch from Kenya 🇰🇪 wapi likes zake #chado_masta_film

Vintonekaveli
Автор

Ngwengwe maskini kichwa kitapasuliwa kwa konzi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

ViolethMilala
Автор

Dah!!! Kitengo, Chado, Anthony Fanya jambo juu ya hili jambo la Mzee wa

dtv
Автор

Si hugu bodyguard wa manyonga ndie yule aliechukua lile bagi la kakake Najma

NajmaNgoni
Автор

Yani aminini kwamba bongo tunaendelea vizuri Sana washirika wote respected kwenu ❤❤❤

SamwelMjema-eu
Автор

Manyonga shenzi sana acha ukutane na kitengo ndo utaisoma😢😢

hanifahkhamiss
Автор

We manyonga piah sio mtu mzuri.... huwez kuforce upendo kwa uongo bhnaa 😐 lkn me naamini kweli ni mission impossible...hiyo mission ya manyonga itakua impossible 😊ngwengwe ety digidigi😂😂😂

getrudakimario
Автор

hiyo kesho kutwa mbali sana yani hadi naogopa usiku unakuwa mrefu sana ukizingatia usiku miwili na mchan miwili si atoe tuu yote kuliko kiwa na stress 😓😓😰

mkombostv
Автор

Hii move naipenda lakn simpend mzee manyonga yani anaboa yani

ElizabethPetermwinami
Автор

Masikin mzee wa misumari waminifu wake umemutia pabaya, jaman , 😢naomba serekali ichuguze atoke

maryammaryam
Автор

Yaan huyu manyongaa hana hata sura ya aibuu tena anarosokaa😢😢 kweli huyu manyonga cheki na huyo baunsaaa

Cute_mamuuh