BABA LEVO - 'NILIMPELEKA DIAMOND KUBETI, AKALIWA MILIONI 60'

preview_player
Показать описание
BABA LEVO - "NILIMPELEKA DIAMOND KUBETI, AKALIWA MILIONI 60"

WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113

LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻

Follow Us On:

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Nakubali sana babalevo diomond ni magufuli 2

mbleegun
Автор

Jamani nawakaribisha kusikiliza wimbo wangu mzuri na mtamu sana

frankmasamaki
Автор

yanii b levo ata kama huaga smtme unaongeaa uongo ila huaga unanifanya nienjoi sana aisee

deegrotv
Автор

Hahahaha nakubar Sana kaka hahahaha mbavu sina unanichekeshaga Sana brother unipige nikupige zauso mahera yamejaa ndan ayana kaz nikwr kabisa daimond ana pesa nyingi Sana kaka kingine sija wah jutia kkusikia maana ww nimkwer kabisa aunaga uwongo ndomaana unapendwa na watu, Mr fund manyumba😂 hahahaha 😂😂😂😂🤣 rispact brother ishi Sana brother

naftarleonard
Автор

Milioni 60, baada ya kufanya kitu Cha maana sio kweli

zawadilenadi
Автор

Hahha ety anamahela mengi hayana kazii😅😅😅

Revmosee
Автор

Wasafi bet ni partnership ya odi bet na wasafi..that's why wasafi bet ikilaunchiwa wale odi bet top managers na ambassadors wa odi bet ambao ni wakenya wote walihudhuria usinduzi wa wasafi bet..ni jina tu ya wasafi ilitumika for the Tanzanians

jeffjeff
Автор

hahahahahahaha Hiki kichwa cha kigoma (aka Baba Levo) kweli kilisha shindikana. Unamshawishi Hadi Boss wako akacheze kamali !!? hahahahaha

piusphilip
Автор

Kusifia kulitaka kuzidi akakosea alipigwa nae anawapiga watu

Nyamko-christmas
Автор

Huyu jamaa ni zaid ya mtangazaji maana asiyecheka wakati anaongea hana bandama

wisperfect
Автор

Iyo ni laana haina ubishi utaona mazara yake badae

saadmbaraqa
Автор

Yangekuwa hayana kazi angeshindwa mnyamazisha Mzee Abdul kimya kimya kwa kumpa kitu alichokuwa anadai kama nyumba, bima na pocket money kila mwezi ili asiendelee kulalamika, badala yake akaenda kumkana kwenye radio yake in the name of viewer's. Cha kushangaza hata huyo Mzee Nyange mbona alimtelekeza mama yake wakati mgumu sama wa ujauzito? Kama sio Mzee Abdul kumbeba mama yake na ujauzito uliotelekeza probably asingekuwepo leo Diamond and then unasema ana pesa hazina kazi Lol!

samniza
Автор

Hii ni Baraka sana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽👉🏼👉🏼👉🏼👉🏼

rafikingango