TAZAMA VIDEO NZIMA YA YULE MCH.ANAEWACHANA LIVE WABABAISHAJI 'Hutaki nenda kwanza sijakuita'

preview_player
Показать описание
CLEDIT:NyTV

#ShuhudaZaJacktanMsafiri #JacktanMsafiri #PromoverTV
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Hii ndiyo Injili ya Kristo inatenganisha mifupa na nyama, maji na mafuta....kutoa utu wa kale na kuvaa utu mpya...Be blessed servant of God

HadijaHsalehe-zk
Автор

Amina baba tumepokea ujumbe kwa moyo mmoja. Bwana YESU Atusaidie. Miujiza tuipokee.

GetrudaJoseph-gr
Автор

Barikiwa baba, Mungu aendelee kukutumia kanisa lipone. Gonga like kama unakubali maneno yangu.

marykibwana
Автор

Mungu azidi kukutumia kwa viwango vya juu zaidi baba yangu wa kiroho..pia Mungu akupe maisha marefu zaidi

justamwesiga
Автор

Hongera Mchungaji ! Kweli, mimi ni mmoja wa wanaoshukuru kwa ujumbe unao kwa ajili ya kutetea injili ya kweli kwa nyakati huu, pia ushuhuda ulio nao. Mungu atukuzwe.

jonassafari
Автор

Safi sana.mtumishi wa mungu mungu aliye hai anaishi napenda kumtafakali mimi namuona nimzee wameka niwasikunyingi hakuna wakufana yeye nampenda sana ❤❤❤❤❤❤❤

PeterMahona-zdoz
Автор

❤❤❤❤nimeamini watu mkiwa na hofu ya Mungu mnafanana Mungu awe nawe baba

agnesspaul
Автор

Mungu akubariki sana baba yangu mpendwa..unaisema kweli tena unakemea kabisa.barikiwa sana baba.

elizabethmgassa
Автор

Asante mtumishi barikiwa natamani sn injili km hii jamani ili tuwe watofauti, Sisi Ni vielelezo hapa duniani.. Asante Yesu Kwa kunipenda.

KenethdanielManyesela
Автор

Mchungaji Magembe wewe ni mmojawapo wa wachungaji wachache sana mlio salia hapa duniani. Mungu akutie nguvu na umri mrefu ili uendelee kuifanya kazi ya Mungu.

venancemwanya
Автор

Mungu akubariki mtumishi wa Mungu.akuongezeye miaka mingi zaidi ya miamoja.unatufundisha mafundisho Mazuri sana.❤

GhislaineMuhindo
Автор

Mungu akupe miaka mingi ya huduma mtumshi wa Mungu. Mungu azidi kukutumia katika shamba lake.

irenemunuo
Автор

Piga kazi babaaa wewe ni katika wachache mnaotulisha maziwa yasiyoghoshiwa Mungu akubarik🙏🙏🙏

VeronicaMacha-plxt
Автор

Asante Mungu hakika wanahitaji kuwa na wachungaji wenye msimamo namna hii, ubarikiwe mno mtumishi wa Mungu

AngelBayo-pu
Автор

Asante sana muchungaji kwa Neno, umenirudisha kwa misingi ya Neno la Mungu, ubarikiwe sana

mediavumbi
Автор

Hak I God bless you kwa kunionyesha njia ya kwenda mbinguni be blessed

FlorahMuhonja
Автор

Am not Christian but this pastor is truly touch my heart, Glory to God & we are all brothers & sisters 🙏

bobnassa
Автор

Karibu kanisa la waadventista wasabato tunakutamani sanaa uwe mmoja wetu utatufaa

jumamwita
Автор

Akiri zimeisha hata ufahamu wa kuazima hakuna 😊😊😊 Barikiwa mchungaji 👏👏👏👏

hilgathjoshua
Автор

Asante baba ubarikuwe mno hiyo ndiyo injili ya wa TAG

IREENNTIJE