V-BE - Naimanya

preview_player
Показать описание
V-BE, well known for their sweet and mellow love music, presents “Three Strokes.” This Ep is the first of the many releases that V-BE purposes to give to their fans to showcase their musical diversity and ability to do any genre of music with class. “Three Strokes” is a three song EP. The songs are Newcomer, Naimanya, and Take A Snap.

Written & Performed by: V-BE
Audio Produced, Mixed & Mastered by: Teddy B
Lyric Video by: Chol Jurkuch

Follow Vijana Barubaru on social media platforms

LYRICS
Vijana Barubaru na wewe
Ya dada

We unaifanya ukijaribu sio? Mhh
Umekosa ma azimio? Mhh
Nani akuchune masikio
Vile naifanya unaeza tell naimanya

Vumbi natimua inachafua vitumbua, Mhh
Mini hatupimi vifua, Mhh
Usigonjeke wivu haina cure
Vile naifanya unaeza tell naimanya

Oooh yeah
Naona how it appears
By the look of things unaeza dhani we are peers
Sote tuko out tunacheers
I toast to my wins, we unatoast ndio uhide from your fears

Tip tip naserve ukweli na this beat
Ka inaumiza unaeza paka ego deep heat
Tuonane kando kama mishoni ni discrete
Ukirun your mouth, na run hii street

We ni kate ngumu na chai ni mimi
Venom naspit hadi wachawi hawaamini
Siezi sukwa nyele nina punch lines mingi
Funikwa na dini mi nalead waumini

Si wa owe any
Sijai waborrow peni,
Sifanyi ka sipendi
Mi ni G.O.A.T (meeeeeh)

Kwente top teniviews mnabuy wengi
Ngoma haziendi
That’s a lot

We unaifanya ukijaribu sio? Mhh
Umekosa ma azimio? Mhh
Nani akuchune masikio
Vile naifanya unaeza tell naimanya

Vumbi natimua inachafua vitumbua, Mhh
Mini hatupimi vifua, Mhh
Usigonjeke wivu haina cure
Vile naifanya unaeza tell naimanya

Story si za jaba, skuuzii uwoga
Ka naifinya leta platter hawatoshi mboga
Mhh cucumber fresh inafanya atoti ananyongwa (mmmhh)
Nikikubless ni kasanamu utachonga

I’ve seen it all so am not cynical
Nikisema from here tupatane pinnacle
I said so mkadhani ni mandom
Sai mi ni headliner napeana platform

Platform ndio napeana on my way to the summit
Siezi wekwa behind bars
Nina bars ligi ya wizzy certified lyrical bandit
Catching up imewakataa

Mmekatwa miguu hamuezi stand on business
Chuo ni kikuu, mafunzo bei ni nafuu,
Barafu haiwezi chill karibu na moto this great
Wanamelt, wanamelt

We unaifanya ukijaribu sio? Mhh
Umekosa ma azimio? Mhh
Nani akuchune masikio
Vile naifanya unaeza tell naimanya

Vumbi natimua inachafua vitumbua, Mhh
Mini hatupimi vifua, Mhh
Usigonjeke wivu haina cure
Vile naifanya unaeza tell naimanya
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Listening from 🇨🇦🇨🇦 to the 🌎 it’s vibes on vibes❤

Shazlyne
Автор

Hii industry iko ready kweli vijana hawa take prisoners they kill❤

isaacmuchiri
Автор

They just drop 3 bangers back to back, , big up Vijana barubaru"siezi sukwa nywele nina punchlines mingi"🔥🔥🔥

dennoh_phennal
Автор

Naimanya sana. Kikwehu kinatsama. Mhikooo

TheBigStoryKE.
Автор

Cucumber fresh inafanya atoti ananyongwa😂Lit🔥🔥🔥

SpizesMuzik
Автор

This is just amazing, amazing guys or how else can you express this? 💕

fortuner
Автор

Fire emojis 🔥🔥inakuanga on standby every time

Kayrich
Автор

The third verse to this banger is a back and forth tag team battle royal with the entire music industry ala Shawn Michaels and Triple H versus the whole WWE

southsudgicpictures
Автор

Among the first people here wapi likes

coolp