GLOBAL HABARI FEB 2: JPM ATUMA RAMBIRAMBI WALIOFARIKI WAKIGOMBEA MAFUTA YA UPAKO

preview_player
Показать описание
GLOBAL HABARI FEB 2: JPM ATUMA RAMBIRAMBI WALIOFARIKI WAKIGOMBEA MAFUTA YA UPAKO

Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa familia za watu 20 waliopoteza maisha kwenye ibada maalumu ya kukanyaga mafuta Moshi Mkoani Kilimanjaro.

Vifo hivyo vya watu 20 vimetokea Feb mosi Mjini Moshi katika viwanja vya majengo ambapo maelfu ya watu walikusanyika kuhudhuria ibada inayoongozwa na Mtume Boniface Mwamposa, huku sababu kubwa ikitajwa ni msongamano wa watu waliokuwa kwenye harakati za kiimani zinazohusisha kukanyaga mafuta ambapo watu wengine 16 wamejuruhiwa.

UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982)
( +255 676 229628)

Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kwa nn asiweke mafuta milango yote ili wapite vzr bila msongamano. Mmhh

romanambelle
Автор

Kufunga makanisa si Jambo jema, hila imemkuta naye Mwamposa kwa bahati mbaya, tuna tamaa nyingi WANADAMU

gideonkalumbu
Автор

Kama hukuepo unashadadia nn wewe mama unamatatzo ya akili ww

ntamwanatv
Автор

Kufa ni mipango ya Mungu mama usihukumu ili nawe usihukumiwe, , , kama ni nguvu za giza mbona awakufa wotee?

lilianichuwa