JASIRI - WEUSI x MWANA FA x AY

preview_player
Показать описание
Special Tribute to Honor The Late Ruge Mutahaba Father of Tanzania Entertainment Industry.

Recorded at Pluto Studios by S2kizzy

#rugemutahaba #weusi #mwanafa #aymasta
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Ruge Mutahaba🙌Mungu mlaze pema🙏 #my idol just gone so soon

juliusmaricha
Автор

Despite being his 40 days today since he left us just remembered him and came here to listen to this emotional song..Big up Weusi FA AY inafariji sana hii nyimbo🙏endelea kupumzika kwa amani RG

hafsayusuph
Автор

It so sad, so painfully pumzika kwa amani baba magufuli watanzania tulikupenda sana tutazidi kukukumbuka aiseee😥😥😥💔💔💔

harunayussuf
Автор

Kuna kitu kipo kwa Gnako seriously ni tofauti na wengn sijui Kama yeye anakijua . Gnako Gnako Gnako.... Brother you are the best of mine

victorsomba
Автор

R.I.P Ruge
You'll live forever in our heart
Msamehe pia dudubaya
We'll miss you always

OfficialKiliPaul
Автор

RIP boss ila naskia sifa zako mkuu...jina lako litaishi we grieve with you Tanzania....like Za boss ruge....

jaycoolmaaly
Автор

G warawara chorus imenigusa bro we mkali salute mwamba

amiriramadhan
Автор

g nako mwamba kwenye corse ww ni badest killer

bashiribashite
Автор

R.I.P ruge😭😭 Moja ya ngoma nzurii ya kumsindikiza jasiri ruge!! Salut kwenu weusi mwana fa na AY!

florianmasawe
Автор

Shukran sana Weusi ft FA ft AY kwa faraja hii na ninyi mungu awatie nguvu kwa kipindi hiki kigumu kwa Watanzania.
R. I. P shujaa wa Tanzania Ruge.

gaburica
Автор

G nako g nako g nako g nako nlikuw sina mpango wakulia inabidi nilie tu sasa

drizzyjamillah
Автор

Aseee gnako n kwere, u drop something hard chuga B

shafiimaloki
Автор

dah inauma kwakwel ila mungu kakupend zaid mungu akulaze mahal pema pepon amina by by boc ruge

shedrackdaudi
Автор

Basi Ruge alipendwa sana TZ. Take heart from🇰🇪

kennedymuitherero
Автор

asanteni weusi, AY, FA, nafarijika sana.

abroadconnectededucationlt
Автор

hAWA VIJANA wamemtendea haki Mwongoza njia wetu. Huu wimbo na ule wa Msechu wa safiri salama wamemtendea haki kabisa Ruge.

mamahustru
Автор

Ngoma kali sana kwa kufariji waliopatwa na msiba ...

gabrielmushi
Автор

On a mission to listen minutely to all Nikki II verses... I love alliteration to start with !

kedyjohn
Автор

#RipRuge #JaririMuongozaNjia Baba w Wenye nia na Uhitaji.Tungo ipi yafaa kukuelezea uliyoyatenda Katika Dunia hii #Umeifungua Dunia Kwa Tunachotaka lakini Ujamalizia mbona Kaka? Mapema ivyo why? why? why? Let me cry for You #SafiriSalama Kaka

SUPREMEDIGITAL
Автор

Rest in peace and easy our beloved President John Pombe Magufuli.

deogratiusrichard