ANATESEKA KWENYE JUMBA LA KITAJIRI KISA NI MTOTO WA MFANYAKAZI | AFTER SCHOOL

preview_player
Показать описание
Movie Name : AFTER SCHOOL
Year : 2024
Genre : Drama

NB: CREDITS

  ⚠️DISCLAIMER

Copyright Disclaimer: - Under section 107 of the copyright Act 1976, allowance is made for FAIR USE for purpose such a as criticism, comment, news reporting, teaching, scholarship and research. Fair use is a use permitted by copyright statues that might otherwise be infringing. Non- Profit, educational or personal use tips the balance in favor of FAIR USE.

THE VIDEO.

Hit Us Up: +255624944364

Follow Us On Socials :-

Follow KONKA on Socials :-
Snapchat: Izkonka

#zeelakutune #zeelatown #e7bits
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Niko hapa mpeni saport konkaaaa awe anatuwekea mizigo kila siku

samiuhassan
Автор

Uyo mtoto wa mfanya kazi mi mzuri balaa

rajjunior
Автор

Sijawah kukoment lakin Leo big up Sana 😂🥰

lilianalmas
Автор

Daaah nimetoka kuangalia ii muvi aki nusu nitoe machoz ni bonge Ya kitu ii 👍👍👍💘

MwajungaYohana-cu
Автор

Mwanangu unajua sana mwenyezi mungu akubariki sana kwa kazi yako nzuri🙏

kalomamkunda
Автор

❤❤❤ dah nlikuw na nawaz kinom lakin nimechek story yak uwez amin nik safi I umetisha kaka

HamadAyubu
Автор

Nzuri sanaa alafu uyu mimi ni pisi ataRiiii

mwanaidiomari
Автор

Tulio comment ili zifike buku 😂😂😂 ila goma tamu bhana

elizabethkabanda
Автор

We jamaa hata kama story ya movie sio nzuri, ila una isound poa sana mpaka inakua nzur, big up man

omaryalphany
Автор

Ameizing unyama sanaa story Kali sana leta mpya❤

HALIMASAID-tpok
Автор

Jamaa unajuaaa yaani mm nikishaangalia Recap zako nakuwa nimeangalia muvi yote tena kwa Mb chache tu Kazi nzuri 👏👏👏👏👏

randomtube
Автор

Wow!!! So nice l like it story tamu kwl yatoa thozi jamn 🫡

Mwamaisha
Автор

Hataree sana yaan weka na sehem ya 2 mana kila dongo unalotoa ni ❤️‍🔥❤️‍🔥

YasserHamed-px
Автор

Wa kwanza Leo naombeni like mie mgeni😍😍😍

domitinalaurent
Автор

Daaaah mzigo mzuri sana aloooo❤❤❤ polesana kwa mimi mateso alopitia😢😢😢😢

PriscaMathayo
Автор

Wooouu. Ubaya hauna fadhila .❤shukuran mtunzi

AnnaMundia-do
Автор

wakwanza Leo kbs nataka like Tano tu plz

LandryMapesa-nsmq
Автор

Kaka wewe is the best of stories for me nakukubali kinyama yani

MasoudAyoub
Автор

Tulio toka tiktok kuja kuangalia huku tujuane

Privia-ss