filmov
tv
JAMAA ANAUWA ABIRIA KWENYE TRENI NA KUWAGEUZA BUCHA | MOVIE RECAP IN SWAHILI
Показать описание
Leon ana talanta ya kupiga picha lakini bado haijamlipa kama vile yeye anavyotamani.
Anaamini anastahili kupata zaidi na zaidi na jambo hili linamfanya akose kabisa furaha.
Siku moja mpenzi wake (Maya) anampasha habari kuhusu bi. Susan Hoff, mwanamama anayefanya kazi ya kukusanya picha na kuzifanyia maonyesho makubwa yenye fedha kichele. Anamshauri akaonane na mwanamke huyo kwani huenda akapata kitu.
Kama mnavyojua mtafutaji hachoki, akichoka basi jua kapata.
Leon anashikana na mwenzake (Jurgis) njia na njia mpaka mezani kwa Susan. Anajitambulisha mimi ni mpiga picha mkali wa jiji la New York.
Anamwonyesha kazi ya mikono yake, zile kazi anazoziamini, lakini Susan anapozitazama, anaishia kutikisa kichwa.
Kazi zimepoa mno.
Kazi hazina msisimko.
Anamshauri Leon kama kweli anataka kazi zake zitambulike na apige pesa ya maana basi avuke mipaka. Achakarike kuleta kazi zenye mikasa ya jiji la New York na matukio yake.
Movie name: The Midnight Meat Train
Genre: Horror, Mystery, Thriller
Released:2008
#movierecapinswahili #movierecap #movie

Комментарии