HAWA NDIYO MA RAIS MATAJIRI ZAIDI DUNIANI, TRUMP NAMBA 06!

preview_player
Показать описание
HAWA NDIYO MATAJIRI ZAIDI DUNIANI, TRUMP NAMBA 06!

#ORODHA YA MARAIS TAJIRI ZAIDI DUNIANI

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

fanya research vizuri....Gaddafi umemuacha wapi

ahmedsentafinga
Автор

Hasanali bulkiya nchi yake ni nzuri sana kama Libya zaman

sniperboy
Автор

Mbona king wa Oman hayupo👏wala Qatar hayupo

luqmanhamed
Автор

na mimi lini nitatajwa kwenye hiyo List ya matajiri wa dunia

hendrynyaki
Автор

Muwe mnasema hizo pesa kwa kiTz Wazee tunachoshana

shigangamussa
Автор

Kazi mnaleta list za matajiri tu mbona hamuleti list za mafukara zaidi duniani

issamohd
Автор

MAMA Samia Suluhu Hassan rais wetu mpendwa yeye anashikilia nafasi ya ngapi?

saidhamad
Автор

Umechemka sn ss mbona hutaji chi zao hao marais matajiri

sebastianwilson
Автор

Kwa marais wezi top ten yote inatoka africa

jumananamwa
Автор

Muongo mbona hujamtaja King mfalme wa Dubai.

kabwelerywamwatumu
Автор

Makamu wa rais wa Kenya ruto ako nafasi ya ngapi?

jameskimani
Автор

mbona umechanganya wafalme na maraisi?

bahishaalexander
Автор

Next time bros awoo marais 2na 3 na 4 nilazima utaje ichii zao

Alihamdulil
Автор

Naomba matajiri duniyani tunaomba matajiri mapessa yao wawakopeshe.watu waendere3

ramboemmanuel
Автор

Bin saudi angeshika nafasi ya kwanza shida yake hugawa mali zake kwa watu kila mwezi

Nufaila
Автор

Hizi ni taqwimu mbovu na zisizo za kweli..

yaseerkhamis
Автор

Ungesema viongozi matajir na sio marais maana umechanganya na wafalme

KonshaziKonshazi
Автор

Fanya tafit vizur maana kiukwel waarabu ndio matajir dunian sasa putn anauchumi gan kuliko waarabu

abbuabbu
Автор

Heeeeh huyo wa kwaza utajir wake hata wakiungana wote walio mfata hawamfikii ni

peterchoga
Автор

Global tv waongo ten wanafik king Salman bin AbdulAziz ana Dollar billion 1 vp mtu ana zaid y dollar B64 waong wkubw nyie

yassermohamed