filmov
tv
Mario ft Jovial- Mi Amor
Показать описание
Mi amor
Te amo
Uuh baby
Mon amour
Hakuna mwengine wa kumsikia
Kwenye maskio yaaangu
Hakuna mwengine wa kumuona
Kwenye macho yaangu
Nibebe nibebe hiney nishushe mahabani aah
Nigege nigege
Me kwako tahabani
Eeh eeh eeeh ah
Mi amor mmh
Nikuite jina gani baby
Honey, boo mon amour
Eeh eeh eeeh ah
Mi amor mmh
Nikuite jina gan mahabuba laziziiih
Mon amour
Mmmh eeh iiih
Hey eeeh
Baby eeh ii
Moyoni ulivonikaa never seen before
Unavyonipa never seen before
Wengine wa nini
Oh la la la, la la la
Never seen before
Tuwe wote mpaka kifoo
Madungaembe wa niniii
Oh la la la, la la la
Kwenye joto nipepee
Kwenye baridi nikupambate iiieh
Kwenye mvua nikinge
Huwe mwemvuliii
Nibebe nibebe hiney nishushe mahabani aah
Nigege nigege
Me kwako tahabani
Eeh eeh eeeh ah
Mi amor mmh
Nikuite jina gani baby
Honey, boo mon amour
Eeh eeh eeeh ah
Mi amor mmh
Nikuite jina gan mahabuba laziziiih
Mon amour