filmov
tv
NIACHE NIWAHI

Показать описание
Huu ni wimbo wa harakati, uliojikita katika kuhamasisha usawa wa kijinsia pamoja na kukemea Ukatili wa Kijinsia. Wimbo huu umefadhiliwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) na umeimbwa na msanii Annastazia Mgimba.