Ben Pol - WAPO (Official Music Video)

preview_player
Показать описание
#BenPol #Wapo #SlideDigital

(c)Slide Digital

Listen & Download Ben Pol Music Worldwide

Follow Ben Pol On:

Channel Administered by Slide Digital
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Huu wimbo nimejifunza kwamba mpenz wako akikuacha, cha muhim ni kupiga moyokonde, nakuweka imani kwamba LAZIMA atakuja mwingine BORA ZAIDI yake.
Safi sana benpol kwa ujumbe mzuri
#princegabytv

princegabytv
Автор

Serious !! I knew this guy with his hit song *moyo machine* but till then he has been missing something. Finally today he's back to what he does best. And you know what, Tanzanians should be proud of this guy.
Much love from Nigeria, we love you Nigeria..

MrAfrica
Автор

Tunaosikiliza tena huu wimbo mara mbili mbili Gonga like hapa 😍😁

phayowill
Автор

Slow music wangapi wanaipenda
Sauti ya upole ya Ben pol wangap tunaipenda
Muziki mtamu wa Ben pol nani anaupenda
like kama unavipenda hivyo toka kwa Ben pol
GOOD MUSIC

storyzetu
Автор

King of rnb ....kama unamkubali gonga like 🎶🇹🇿

bwayeazi
Автор

Tulia moyo, ya dunia yasikunyime aman, wengine wapo mapenz yapo tuu🙌🙌🙌🙌🙌🙌never cry for someone who hurt you just smile and say thank you for giving me a chance to find someone better than you😀😀😀

stellahmatondwa
Автор

Still my favorite song bro, keep doing

Storyzaibrahim
Автор

Hii ni moja ya nyimbo ambayo imeelezea undani wa hisia za ndani za mwanadam pamoja na tamaa ambapo unapokua nahisia na mtu unahisi hakuna mwingine pia unapokua unamtamani mtu unahisi hakuna mwingine kama yeye ila moyo tulia wengine wapo na mapenzi yapo wanadam tujifunze kuachilia vitu kwasababu mapenzi yapo tu ukiyakosa kwa huyu utayapata kwa mwingine hivyo moyo tulia thanks ben

endlessdetailstz
Автор

Kitu n nipen likes zangu, wangapi mnaangalia mkifika mwisho mnaanza upya kusikiliza ngoma kali ya huyu mwamba

alexlusaka
Автор

Ben pol anaimba jamani tuache unafki sauti yake tu mashallaha kama unakubaliana nami achia like apo chini

leylaally
Автор

Pale Clouds imebidi Dj Ommy arudie mara mbili wakati pini likitambulishwa kwenye xxxl. Makini sana 💪💪💪💪💪💪

fadhilimagambo
Автор

Nakutambua Mr pol...kitu wapo kwa wingi🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

dennisnjoroge
Автор

Ben uko juu broo hujawai kosea🔥🔥🔥alie ona machozi meusi kama mm 🤣🤣🤣🤣🤣

furahawittness
Автор

Haujawai niangusha kaka. Kazi nzuri sana

altermc
Автор

Toka uanze muziki hii ndovideo kali kuliko zote ulizo wahi fanya mzee ngoma kali sana💯✔

ehsanlukman
Автор

Ooh kweli wengine wapo Ila Ben Paul ur the number 1 kazi nzuri bro.

winifridalucas
Автор

nasema tulia tulia moyo haya yadunia yasikutishe walaa 🇹🇿namkubali sana Ben poul

azizahasani
Автор

There we go kali sana!🤞 ✌️💪💪 alafu kama umeona Executive water Gonga like! Shemeji support

agcreatedit
Автор

Executive water eh umewakilishwaa nicee

lizzynanyukibae
Автор

Eti we ndo wakufananishe na jux, naonaga wanakukosea adabu !!!!

neemamkumbo