Safari ya kubuni upya tume ya uchaguzi ya IEBC yaanza

preview_player
Показать описание
Baadhi ya Majina ya walioteuliwa kujumuishwa kwenye jopo la kuteua Makamishna wa IEBC yamewasilishwa na makundi mbali mbali hitajika kwa tume ya huduma za bunge .Aidha, wanachama wa jopo hilo wana muda wa miezi 3 kuteua na kuwasilisha majina ya Makamishna wa tume ya IEBC kwa rais William Ruto.
Рекомендации по теме