HUKUMU: MTOTO ALIYEFANYIA MTIHANI GEREZANI AHUKUMIWA KIFUNGO, WAKILI AZUNGUMZA..

preview_player
Показать описание
HUKUMU: MTOTO ALIYEFANYIA MTIHANI GEREZANI AHUKUMIWA KIFUNGO, WAKILI AZUNGUMZA..

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Shinyanga imemhukumu kutumikia adhabu ya kifungo cha nje miezi sita mwanafunzi Kunde Gambija (16) ambaye alifanya mtihani wake wa kuhitimu Elimu yake Msingi akiwa ndani ya gereza la Wilaya ya Bariadi huku Baba yake Gisabu Sayi Mahila akifungwa kifungo cha Miaka mitano gerezani.

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:

⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)

⚫️ OUR PLAYLISTS:
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Ila mimi nilikuwa nawaza huyu mtoto asirudi kwenye kile kijiji maana waliofiwa na nduguyao bado watakuwa na kisasi, kwa huyu mtoto haikuwa makusudi yake ila familia ya malehemu sizani kama watalijua hilo.nilikuwa na muwazia sana huyu mtoto ila mungu ni mwema kila wakati 🙏🙏

estakapufi
Автор

Ahsanteni waTz wenzangu Kwa kuonyesha mapenzi ya dhati Kwa kijana Huyo.Watz tunapendana, ,

gracekagoma
Автор

Wazazi acheni kuunganisha watoto kwenye uovu, Mungu tusaidie saana

trophywilson
Автор

Asante yesu mtoto akaendelee na masomo na mungu alivyomkubwa huyu mtoto atakuja kuwa mtu mkubwa sana Tanzania na nje ya nchi

teddyhenry
Автор

Alhamdulillah hapo kidogo nafuu sio mbaya ataenda shule lkn majonzi ya baba atakuwa nayo masikini Allah amtie nguvu hamna namna

OfficialA
Автор

Allah amlinde sana huyo mtt. Naazidi.kuupa fahamu.zaidi ktk masomoyake.

zahorsalum
Автор

Mungu amlinde asirudie tena na atulinde na sisi tusitende ubaya

khadijahali
Автор

Alhamdulllah uyo mtoto kutoka jamani ali kuwa ana nihumiza sana

mwajumakweli
Автор

Natamani kutoa machozi kwa furaha niliyo Kwa kweli Mungu ni mwema

odaksibuchum
Автор

Hafadhali mtoto katoka nimefurahi sana

veronicasulle
Автор

Haina kulipa?? Km kuna kulipa wanaeza kulipa lkn pia Mahakama imewahurumia saan Alhamndulilah

enterenter
Автор

Matatizo ni sehemu ya maisha Allah awafanyie wepesi

MohammedAli-rhsi
Автор

Daaaa jamani 😭😭hadi nimelia machozi ya furaha.Hakika Mungu amemtendea makuu huyu Kijana tunamshukuru Mungu adhabu imekuwa ndogo Kijana aendelee na masomo yake..

elizabethmwandu
Автор

Mungu ni mwema jamani mtt aliniumiza Sana Ila mungu kamsimamia inshallah akaebdelee na masomo 🙏🙏

ashambike
Автор

Baba yake atumikie kifungo Cha maisha kuuwa sijambo LA mchezo na huyo mtoto mungu amsaidie asije rejea tena

azizaabeid
Автор

Hakimu mungu aendelee kukutunza wewe na Familia yako

teddyhenry
Автор

Mungu msaidie jamani akatimize ndoto zake mungu anaweza jamani

aishaedwadykavulaagneess
Автор

Allah amsaidie na mawazo ya kusoma kipaji chak Cha ELIMU drsn kisipotee

adamnoah
Автор

Jamani nimefurahi sana kusikia habari hii kwa huyu kijana, nakushukuru Mungu.

pieremchome
Автор

Mungu ni mwema mtoto katimize ndoto zako

khneesajumaa