SEMAJI AHMED ALLY APAGAWA NA USHINDI WA CHUMA 3 BILA DHIDI YA TABORA/MASHAKA/AWESU WAMKOSHA SEMAJI

preview_player
Показать описание
SUBSCRIBE NOW:

About the Official Simba SC YouTube Channel:

Simba Sports Club is the most successful club in the history of football in East Africa. Enjoy the best goals, highlights, tricks, new players, training's,exclusive interview and live press conference

🔵🔴⚪ #NguvuMoja #Wenyenchi
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Asante Mungu kwa ushindi naomba iwe ni mwanzo wa kupata ushindi mkubwa kwa michezo ifuatayo

AnjelaMatiya
Автор

Simba tamuuu
Wataniua wakisema nihame
Simba rahaaaa
Ebhaa semaji Ahmed ally tutambee 🎺📺📽️🎥🎬

FilimoniIshababi
Автор

hamed hongera sana mimihuwanaburudika sana unapoongea hakika wanasimba hapo tumelamba dume Allah/mungu aendelee kukutunza simba nguvu moja

charles-lcpp
Автор

Mungu atutangulie na sisi turudishe furaha yetu.big up simba🦁🦁🦁

frankmushi
Автор

I love simba so much to much❤ubaya ubwela

WistonCosmas-nrhs
Автор

Simba nguvu moja asante MUNGU kwa kutupa ushindi siku ya leo 🙏🙏🙏

WendeMposola
Автор

ALHAMDULLILLAH RABIL ALLAMIYN, mwanzo mzuri wa msimu, , ila ahmedy ALLY, ana vituko aysee

azizimuhibu
Автор

Kwa mpangilio wa kocha wachezaji wamekuja kwenye mfumo wa kocha sehem moja tu umaliziaji tu hapo ndio tuna muombea kocha mungu ampe upeo wa kumtengeneza mmaliziaji

NdinduruvugoPisco
Автор

Msemaji bora kabisa kuwahi kutokea nchi, ❤❤❤❤

charlesmahuna
Автор

Mwalimu anatakiwa aifanyie kazi sehemu ya umaliziaji simba wanatenqeneza nafasi wanashindwa kutumia kuwa qoli mwalimu haifanyie kazi hii sehemu ya umaliziaji

fatumasaid
Автор

Simba yangu milele🔥💪💪💪🙏🙏semaji lakafu mungu akujalie team ifanye vizuri tutaona mengi😂😂😂😂

chusseboywcb
Автор

😂😂😂😂😂😂😂 ila semaji kweli we mshenz acha waungane tu
Eti usichekeshe mbona haiwezekan jamn
Semaji namba Moja Tz ❤❤❤❤

scollamwanisisi
Автор

Huyu nimsemaje wa kweli humsikii akiongelelea yanga ila maajabu ya wenzetu mechi zao wanaongelea tu simba 😂

kamaratsalimsafari
Автор

Mwalimu afanyie kazi sehemu ya uchezaji zipigwe pasi za malengo zaidi big yes kwa Mavambo Fernandez alikua halazimishi kuna nyakati alikua anabadili gia juu kwa juu kubadil maamuzi akiona upande umejaa anaangalia sehemu ingine laken muzamiru, Ahoua pamoja na Mo husein wanalazimisha pasi mwisho wa siku pasi zinapotea.

mussangalawa