UTACHEKA!😂 AHMED ALLY ASHINDWA KUVUMILIA APAGAWA NA KIGOMA/CHEKI ALIVYOCHEZA NA STAILI YA SAKHO

preview_player
Показать описание
Leo April 1, 2022 Meneja wa habari Mawasiliano wa Simba SC Ahmed Ally Anatembelea Eneo la Pugu Dar es Salaam ili Kuzungumza na Mashabiki na Wapenzi wa Klabu hio kuelekea Mchezo Wa Marudiano wa hatua ya Makundi Kombe la Shirikisho Barani Afrika Dhidi ya US Gendarmerie Utakaopigwa Jumapili Hii April 3, 2022 Uwanja wa Benjamin Mkapa Majira ya Saa Nne Kamili Usiku

Mpenja TV Tuko na Msafara Huo kutoka kituo Cha Treni Cha Kamata Mpaka Huko Pugu na Tunakuletea Kila Nukta ya Jambo

#SimbaSc #Mpenjatv
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Safi sana kiongozii wangu Ahmad Aly saivi nguvu zote zielekezwe kwa warabu

rashidjuma
Автор

🤣🤣🤣🤣🤣et kazi yao umbea kila mgen wanampokea

ladymangala
Автор

Kiongozi mbunifu ndo tunayemtaka hadi sasa ni simba kila kona aisee ahmed ally umewaweza

barakamwamkinga