Abbah - Antonia [Feat. Harmonize] (Official Audio)

preview_player
Показать описание
Abbah presents the official audio to 'Antonia', featuring Harmonize.

© 20
21 Abbah Music

Follow
Abbah:

#Abbah #Antonia #Harmonize
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Ndio tumefika Sasa wapi likes za Kenya ❤❤❤

phenelixosore
Автор

Acha niende ticktock nipige hii challenge 🎉🎉🎉

GospelPrince
Автор

Huwa sielewagi kwa nini harmonize jeshi anapigwa sana vita, dah sasa nimeshajua mwamba ni bonge la artist, ama kweli mti weny matunda ndo wapigwa mawe, brother abbah hii nyimbo usiiache ipite fanya mpango muitolee video, bonge moja la song

kdf
Автор

Harmonize jaman, we jamaa unaimbaga sana

Shut out to u Abbah ngoma Kali mzee

gerry_macopper
Автор

TULIKUJA MWAKA HUU 2024 MWEZI WA 9 TUJUANE😊🎉

DJ_MAN_JOJO_
Автор

Nani amefika hapa after kupata ngoma inatrend TikTok 😊

vincemusicpro
Автор

Oya wee KondeBoy anajua sana, kondegang sihami milele

ndayijeanclaude
Автор

All Kenyans pigeni like kama imebamba❤

ryadsirma
Автор

Found this masterpiece today🔥🔥🔥...enyewe mziki mzuri hauozi💯💯

MTALIITV
Автор

Mjeshi anajuwa nyie mi konde gang sihami mamaee mpaka nakufa😂😄

kasimumohamedi
Автор

Abbah huu wimbo mzuri sana kwanini hujaupromot wewe mpe harmonize aupromot mwenyewe utaingia trending

kendradamas
Автор

Harmonize is the Best artist from África 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿 por onde andava essa linda música? Só hoje é que descobri

armandoleonardo
Автор

Nani amefika hapa kutoka Classic 105 on Maina and Mwalimu ❤❤❤❤ KENYA

Perisshortstory
Автор

Mtu wa kwanza leo wapi likes za kenya /kenya oyee

mohamedkosar
Автор

Nani amenotice wakenya ndio hua wanainua na kulike ngoma za Tz❤❤

spartabloodline
Автор

Abbah nimemic kusikia ngoma nyingine na harmonize kwenye mikono yako kaka

jumahassan
Автор

How many are here this year after TikTok??😊😊😊

FavourKE
Автор

Judith adhiambo from Saudi Konde kama konde sihami niko hapo♥️♥️🔥🔥🔥🙏

judthadhiambo
Автор

I salute you Abbah good work Konde Boy

Gideon-kz
join shbcf.ru