TUPENDANE Na. DAVID M.K // KWAYA YA MT. VERONIKA //KIGANGO CHA MISUNKUMILO _MPANDA

preview_player
Показать описание
Ni katika Amri ya Mungu ya Upendo tunaalikwa kupendana katika maisha yetu na kusaidiana katika shida mbalimbali kwakuwa wote tumeumbwa na Mungu na hivyo wote ni wana wa Baba Mmoja na hivyo tupendane kama Baba yetu wa Mbinguni anavyotupenda sisi watoto wake....

MAWASILIANO:
+255742226000
+255628794590
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Karibuni tuungane na wakwaya wa Kwaya ya Mtakatifu Veronika KIGANGO CHA MISUNKUMILO kutoka Jimbo Katoliki la Mpanda wanaokuletea wimbo wa TUPENDANE...

KARIBUNI TUHUBIRI UPENDO KWA WATU WOTE❤️🙏

avemariaproductions
Автор

Aki ni u are blessed with soo good voices...alto are doing it best keep up

franciskironjo
Автор

Hongereni sana wanakwaya
Hongera sana Mtunzi
Hongera sana Avemaria Pro.
Mungu Awabari sana.

despinae.mdende
Автор

Na ka-melody ka nyumbani kigoma🎉🎉🎉🎉❤, hongereni Sana waimbaji

monicacheche
Автор

Aiseee hii kazi ni ya moto sanaaaa 🔥🔥🔥🫡

himerymsigwa
Автор

Hongereni kwa kazi nzuri, wimbo una maudhui Bora ya kuishi nayo. Tuzidi kuhubiri Upendo

methodstivin
Автор

Hongereni sana
Hongera nyingi kwako dada angu @Despina, 🎉🎉❤❤❤

emmanueldkulwa
Автор

Hadi nimetoa machozi asanteni ndugu zetu kwa ujumbe mzuri

TanzaniagoodCountry
Автор

Ongeren hakika Mungu awabariki Sana kwa uimbaji uliotukuka

GenerozaKatima
Автор

Mungu awatunze kazi nzuri mno congratulations my soloist daughter Mdende🎉🎉🎉❤

MnyoneEvangelista
Автор

Hongereni kwa idara zote, , bila kumsahau mpambaji 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

SephaniaMzopola-bjcb
Автор

Hongereni kwaya mt veronica mungu awazidishie kazi nzuri sana nawapenda sana❤❤❤❤❤❤

deniskapesa
Автор

Wimbo mzuri Hongereni sana kwaya mt .veronica Hongera sana dada despina umeitendea Haki kazi Bwana .Amri mpya nawapa mpendane kama nilivyowapenda ninyi .Utampandaje Mungu usiyemuona wakati sisi wenyewe hatupendani
Nyimbo Nzuri mno 🎉🎉🎉🤝🙏

norbertsungu
Автор

Hongereni sana kwa kazi nzuri🙏
Mungu atukuzwe milele❤

AsintaMayombo
Автор

Powerful traditionality and beautiful song❤❤❤🎉

waromokello
Автор

Amri mpya nawapa Pendaneni😊❤

Beautiful traditional song❤

paciekasasa
Автор

Mungu awabariki, , , kazi nzuri sana❤❤🤝

conradveronica
visit shbcf.ru