TAJIRI WA MABUS SUPER FEO ATOA SIRI YA KUWA BILIONEA

preview_player
Показать описание
Tajiri wa ma'Bus ya Super Feo ameeleza siri ya mafanikio kutoka kuanza na mtaji wa Tsh. 20,000 mpaka Kuwa Bilionea anayemiliki MaBus,Maroli,Shule na Kiwanda Cha Unga.

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kweli nidhamu na kazi tajiri anaongea vikubwa sana asante boss

ShedrackmartinBalama
Автор

From #EconomicallyGrowthMusicians Congratulations sana Mzee Akili Mingiiii🎉🎉🎉🎉
Nidhamu
Juhudi
Nia
Upambaji
Dua...

Economically-Growth-Musicians
Автор

Super Feo. Nilidhani ni Mwarabu 😂😂😂 Asante Sana Omary Msigwa

piuskusenge-jfob
Автор

Elfu20 ya Miaka 32 iliyopita kwasasa jua kuwa ni pesa ndefu, maana mwaka 1992 sipati picha Elfu20 ilikuwa na thamani gani, pia darasa la saba la miaka 32 iliyopita siyo sawa na ya kipindi hiki, hivyo muwe mnaandika vizuri vichwa vya habari zenu

brightonchedego
Автор

Mungu akupe maisha marefuu. Ya undelee na miradi yakoo

AshaMwamba-ig
Автор

mr omary ma rol model much love from 🇺🇸

fadhilimholo
Автор

Mungu azidi kukulinda, na kuisimamia biashara yako nikweli usemalo, nidhamu ni muhimu, Mungu awe nawe play for you uncle, ,

JoniaIssaya
Автор

❤❤❤ Masha Allah Masha Allah Tabarak Rahman... uyo ndie Allah ndie aliemuwezesha

RahmaIddi-ss
Автор

Mshukuru mwenyezi mungu alikupa akili ya kutafuta pesa ungetafuta maisha ya watu ungekwama shida bin Adam wengi wanatafutana wanakumbuka maisha umri umepita

ibrahimjuma
Автор

Barikiwa sana, Asante sana, kwa ushuda huu, mimi nilianza na msingi wa elfu tano

gfydfdf
Автор

Wale wenye fikra mbovu eti elimu ni ufunguo wa maisha, waseme Mungu ndiye mwenye kufungua maisha

HabibuUrasa
Автор

Hongera sanaaa kwa kazi na kufanikiwa, AKILI kubwa

mathayomwashambwa
Автор

Hongera sana kwa juhudi na mafanikio ya biashara zako!

jimmundakege
Автор

Ungemuuliza mbona Kuna Feo na Selous kwenye Ofisi Moja!???😂😂😂😂😂

evancemoevt
Автор

mkuna mjinga mmoja anatuhela twa kula chipsi basi yeye anatamba kila siku kujisifu yeye ni mpambanaji yeye ndie anaakili nyingi kuliko wengine na anawaita wenzake ni mbwa tu duhh aise haya maisha tu ona wenye hela zao wanavyoongea kwa hekima na busala. GODLOVE KAA KIMYA MAISHA HAYANA FOMULA.

rhymsalsteven
Автор

Aya mzeee kama uyo kingia bank ta mchukulia kama fala fulani shati ime jikunja jamani angalien sana wanao vaa vizr sio wenye pesa kimwangalia uyo boss apo tasema apana uyu fanyakaz lakin chek uyo jamaa alivo simple tu lakin lina pesa mpka safi mzeee wangu wengine wajifunze kupitia wewe🤗

rashdiyange
Автор

Upo Tz inakuombea naamini Ulindwe na Mungu

vickgrace
Автор

Unachosema ni kweli boss, miska ya 80 wanafunzi walikuwa wanafauru wachache sana, Ila MUNGU ni muweza maisha yanaendelea

angelinnamkingi
Автор

Salute kwa mtangazaji na Tajiri sababu mtangazaji anajua kuoji na Tajiri anajua kujibu vizuri Asanteni

lucascosmas
Автор

Mwaka 2001 najifunza ufundi tunatengeneza gali zake zinaishia ilinga alikuwa bado kijana tena alikuwa mstaalabu sana uyu kiongozi kama bado na loo hile hile mungu azidi kumpa maisha nalefu

AmaniMwenda-qr