Hii ndiyo sehemu atakayozikwa Mzee Mkapa

preview_player
Показать описание
Maandalizi ya maziko ya Marehemu Benjamin Mkapa ambaye anatarajiwa kuzikwa Jumatano ijayo kijijini kwake Lupaso, wilayani Masasi mkoani Mtwara yanaendelea, na hali iko hivi.

#RIPMzeeMkapa #PumzikaKwaAmaniMkapa #AzamTVUpdates #AzamNews

Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:

Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
Рекомендации по теме