IGP awaonya waliopanga kuvuruga shughuli ya mazishi ya Mzee Mkapa

preview_player
Показать описание
“Kama kuna watu wanataka kuiharibu hii shughuli yetu tutawashughulikia,” – Kauli ya Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Simon Sirro akiwaonya wanaopanga kuvuruga shughuli ya mazishi ya Mzee Mkapa.
#KwaheriMkapa #MkapaLupaso #RIPMzeeMkapa #BurianiBenjaminMkapa #UwanjawaNdegeMtwara #Magufuli

Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:

Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

NYIE WAJINGA MUNASHINDWA KUELEWA KWAMBA KUNA MAGAIDI WALIOTOKA MOZAMBIQUE MIEZI MICHACHE ILIYOPITA NA KUUA WATU HAPO MTWARA??

godfreymbwambo
Автор

KAMANDA ANAONGEA MAGAIDI WA NJE NA SIO VICHECHE VYA NDANI YA NCHI, MAANA HAKUNA VICHECHE VYA NDANI YA NCHI VINAVYOWEZA KUTETEMESHA JWTZ PERIOD!!

godfreymbwambo
Автор

Masifa tu sasa nani walojipanga kufanya fujo kwenye msiba?

ashritaabdallah
Автор

*Huyo kamanda ni kamanda wa ujinga hivi kweli kuna mtanzania anaweza kuleta fujo kwenye mazishi ya Mkapa?? Nashauri akikosa cha kuongea akae tu kimya kuliko kiongea ujinga*

komboomar
Автор

Mambo mengine hata hayaingii akilini sijuwi ni kutaka sifa au kuto jiamini, hivi nani asie juwa kuwa Mheshimiwa Mkapa mazishi yake ya kitaifa!!!. Na huyo wa kuja kuvuruga shughuli hiyo ana taka nini kwa kuwa yeye kasha kufa?.
Vombo vyetu vya Ulinzi vina penda kutu tisha hasa.
Ki ukweli kuna Watanzania hapo hawajui hata nini kina endelea, wao wana kwenda mbio kutafuta mlo wake wa leo haja ujuwa.
Vyombo vya ulinzi msi tutie hofu nyinyi Kauli zenu za kutisha tu.

harounali
Автор

Yani kamanda alfu una ongea ujinga kama huu nani ata fanya fujo au kiki zakijinga

jasminegabriel