WRONG HOUSE EP 14-15 | CHINGA MEDIA | WRONG HOUSE EP 14 FINAL REVIEW | PREDICTION Ya 4 Scene Zijazo

preview_player
Показать описание
WhatsApp For More Update link 👇

Kwenye Video Hii Utapata Prediction review 4 ya wrong house series series Episode ( Ep14 ) bila kusahau utajuzwa kuhusu mambo ambayo Nimeyapenda na Yale ambayo sijayapenda

Kama Hujaangalia Full Video za wrong house Full Video Zinapatikana Kwa Chinga Media Mjini YouTube.

Important: This Videos are very Special For Review , Commenting & Predicting the Upcoming Scene According to What Is Going on to the Current Series, As well as Introducing or Telling You where the Videos are Found in Specific Channel.

Copyright Disclaimer | Under Section 107 of The Copyright Act 1976, Allowance is Made for Fair use For Purpose Such as Criticism, Commenting, News, Reporting, Teaching, Scholarship, and Research..

Other Search Keywords.
wrong house ep 14, wrong house episode 14, wrong house ep 15, wrong house ep 14, wrong house ep 15 chinga media, wrong house ep 14, wrong house chinga media Ep 13, wrong house ep 15, wrong house chinga Media
#kiboxmedia #moviereview#wronghouse
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Daniel hongera unatufurahisha na comedy zako hadi raaaah aki ya mng umwagiwe tu makopa yako daniel beny mara hii mzimu ukuonje wew

AhmadAlaee-xr
Автор

Asanteni sana kwa vipindi vyenu mnani furahisha sana nawapata 🇸🇦 🇸🇦 🇸🇦 🇸🇦 🇸🇦 🎉🎉❤❤

ZaituniNyanje
Автор

Jamani nafurayi san a navituko vnya Danielle sana ❤❤❤❤❤ Apewe Sifa zake

Angelangerena
Автор

Benlee nakuchukia japo kuna kitu najifunza kutoka kwako mbwa wew😂😂😂😂😂😂😂

Justinamlega
Автор

Béni ni mjinga sana
Amesha wapotosha wenzake wengi
Simpendi dah😊

fammamourchy
Автор

Haa jamani tunawashukuru sana maan huyo benlee duuh hafai hata kidgo tunasubiri nae tuone atanyakuliwa au vp❤️👍👍👍🙏

JenidanielDaniel
Автор

Aya tunaisubiria kwa hamu jaman tunawapenda san

AmenaMm-rt
Автор

Huyo Benny mjanja Sana mipango anayopanga yeye hua haanzi kwenda anatuma wenzake waanze kwenda 😂

ميريم-طس
Автор

😂😂😂😂anachekesha uyo kweli 😂😂😂 kweli mzimu atujamuona ana viatu

Johar
Автор

Jamani wrong house kipande chakumi 14 15 vinatokalini

SolomonJohn-swbk
Автор

Mr. Huseni anaenda kuonja kofi soon ya Mzimu 😂🤣🤣 that will be perfect for
Mchipukaji 🤣🤣

ckatoelishah
Автор

It is good Mzimu Akibeba BEN Juu nakumu tupa chini hapo ataacha Jeuri 😳

ckatoelishah
Автор

Benlee ndio amefanya wezake wamekufa ako na kichwa ngumu sana

jacklinekirera
Автор

Huyu Benny hii cmu ingefunguka nngemchamba😂😂😂 anakera yan😢😢 amemaliza wengi kufarki

Saumu
Автор

Benny mjingo mno tena simba wa pori. namchukiya sana benny. napiga sim kutoka drc🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

DesireKabuyaya
Автор

Ila uyo beni ana atariii sanaaa uyu yamlambe tu kwa vile ana roho mbaya afe tu wanafunzi wapone

Johar
Автор

Daniel is so dramatic and Iam proud that he knows that the rosary is the one that saved him

ruthwacheche
Автор

Atukulaumu sana coz ndo mlivyoamua kutupa pressure

IreneMmbando-xfvo
Автор

Hatakama mnachelewa ila mnakazi nzuri na edit za kutosha kabisa ❤🎉😮

RachelJoseph-dyjh
Автор

daniel kwa kweli ako na vituko yaani ako na mambo masuri

DolphineKerubo-zbbe