Idris Sultan azungumzia kwa mara ya kwanza kifo cha ex wake Maya Mia aliyejiua kwa kujipiga risasi

preview_player
Показать описание
Sasa unaweza kujiunga na SnS VIP Family ili kupata mambo mengi exclusive kwaajili yako tu. Bonyeza link hii ili kujiunga na kufahamu zaidi kuhusiana na SnS VIP Family membership
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

UWE UNAWEKA ATA MAJI AU JUICE BASI KAKA SKY MNAONGEA MPAKA KOO LINAKAUKA

jerrykasekasebula
Автор

Aseee Idriss arudi tena
One among the amazing interview ever✊

maximilianjovin
Автор

Very sad lakini Idris seems very matured nime enjoy sana interview

aromaofzanzibar
Автор

Makonda hayupo naona shavu linakutoka sasa ndugu yangu...embu tutilie ile mama alivyo mwita Peter alisemaje vile 🤣🤣🤣🤦‍♂️🙆‍♂️💪🇹🇿🇦🇪

hassanparamana
Автор

Dah! Jamaa kaongea asee🤔🤔🤔 he's true

johnphilipo
Автор

Sky hii interview mbona haikuwa arranged labda part 1 etc, mm navifuma vipande tu yani🤗

shebbyhadithi
Автор

We go thru a lot of things sadly we don’t have people to talk to when it comes to this situation

immachristian
Автор

Idris sultan ni mtu wa Nepal au Mongolia!??? mbona hajui kiswahili vizuri😂🤣😆

shifaaal-baity
Автор

Ubarikiwe kwakweli Idris 😅😅😅🙌🤣🤣🤣🙌🙌 unajua kunifurahisha wallah penda ww❤️❤️❤️❤️

zayumar
Автор

Jaribuni kuweka hata ziwe camera mbili asee hii ni media kubwa sana video ziwe cinematic

NewsTz
Автор

Idriss Na billnas matani yenu tunayapenda, Na tunawapenda pia

نجمةموبيبي
Автор

Sio maamuzi ya Mwenyezi hayo, acheni kusingizia

dostovan
Автор

Nice interview! Depression is real, which often leads to mental illness. Watu wanatakiwa kupewa elimu hii muhimu sana kuhusu Mental health haswa Tanzania ambako resources are limited.

Nyategi
Автор

so marehem alikua ni girlfrnd wa ommy dimpoz na idris huku alikua tena mke wa mtu aise msije mkawa huenda mlimchangia hyo depression

godsson
Автор

Mwanichanganya maya mpend wa omarydimp alfu idirs au masikio yngu

kanghanhankang