IDRIS KAFUNGUKA: Kwanini Wema hajatokea kwenye shughuli ya Idris?

preview_player
Показать описание
Mtanzania Idris Sultan ametambulisha rasmi sokoni bidhaa yake mpya na ya kwanza kutoka kwake ambayo ni viatu ambapo shughuli yenyewe imefanyika Dar es salaam na aliwaalika mastaa mbalimbali.

Wema Sepetu hakutokea kwenye shughuli ya Idris leo August 31 lakini Idris alitokea kwenye shughuli ya Wema Sepetu siku mbili zilizopita, kwenye hii video Idris amejibu kwanini Wema hajaja.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Damn he is handsome. Napenda anavyo ongea! Love from Australia!

benignendayishimye
Автор

You are a such a wonderful guy, your speech is 💯

museti
Автор

Mnatuchanganya mara viatu vya kitanzania mara vimetengenezwa ulaya, india, mara turkish leather, kwa kifupi Sultan akiri tu kuwa anauza viatu kama watu wengine na asiseme et viatu vyake.... Pia hapa nyumbani kuna watu wengi wanaotengeneza viatu origino, na ngozi za hapa hapa, na watu hao ni wa hapa hapa, na hao ndio wanahitaji support ya watanzania, sio wale wanao import vitu kutoka nje alafu wabatuambia et vya hapa nyumbani,
Pili, namshauri apate duka sehemu, physically pajulikane, sio online tu, hayo mambo ya online ni ya watu wachache wanaoweza kuingia mtandaoni ila kuna watanzanzania wengi wanaoweza kununua direct kutoka dukani.
Tatu, hivo viatu vya kimatabaka et mtu unasema viatu vya bei ya kawaida kabisa, kwwl hiyo ni bei ya kwaida kabisa?? Mmmmhhh may be sio hapa Tanzania, labda akiri tu kuwa amewaletea macelebrity tu ila ni bei iliojuu kabisa. NOTE: Nawaomba muww mnapita mitaani kuna watu wanatengeza bidhaa nzuri kabisa na bei nzuri muwatangaze nao pia sio kukimbiria wale wanaojulikana tu, Tanzania ni ya watu wote na ss watu wa kawaida ndio tunaangalia vipindi vyenu na sio hao watu mnaotuonesha mfano, hapo Makongo, Lugalo karibu kabisa na gate la Makongo sekondari kuna vijana watanzania wanatengeza viatu vizuri kwel kwel trust me vinaweza kuzidi hata hivo vya Sultani, ila wanauza 35000-60000, kiukwel watu kama wale ndio wanahitaji support ya kutangazwa ili inchi yetu ikue kwa bidhaa za nyumbani, sio SULTANI SHOES, kuna ni French shoes or Indian shoes,
KWA NILIEMKWAZA ANITAFUTE KWA 0763806657

paulmganyizi
Автор

am from Philippine, I love the way he look but I don't know what going on, , , help me plz

getriciousg