Maajabu Ya kitunguu katika Kutibu kifua

preview_player
Показать описание
Dawa hii ni nzuri sana na inafanya kazi kwa haraka sana... Zingatia tu jinsi ya kuiandaa na kuitumia kama nilivyoelekeza hapa
.........................................................
Contact Us : +255676298270
-------------------------------------------------------------------------------
-------------------------------------------------------------------------------
---------------------------------------------------------------------------------
---------------------------------------------------------------------------------
-----------------------------------------------------------------------------------
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Asante Nashkuru sana doctor kwa Elimu juu ya tiba yakifua, , natokea Kenya nami nahitaji kukipata kitabu doctor je nafanyaje nikipate, , ?!!

Rachel-qm
Автор

Asante dakitari na mafua yamenibana sana nanimetumia dawa za osii wapi na kifua kinaniuma ndani katikati ya moyo thanks sana ❤nitafanya hivyo kesho ishala

kathreen
Автор

Asante nina mtoto wa myezi inee anasubulia na kikohozi kibaya sana nilisha mpeleka kwa dr...kachomwa sindano nadawa katopa ila yamerudi tena sasa hivi tunatumia limawe na asali sasa atujajua kama Mungu atasaidia

vincentgazire
Автор

Asante ubarikiwe sana mtumish wa Mungu 🙏🙏

vickymlatie
Автор

Asante sana kwa hii dawa ntaitengeneza tu sahii

LidyaWawuda
Автор

Hongera Mwalimu kwa funzo poa
Kila somo nalisika na kulielewa sawa sawa mbaka nimekuwa dactari wa miti shamba.

ezekielmwamba
Автор

Thank you Dr and more blessings be upon you

marthamashauri
Автор

Asantee sana jee nta kipataje icho kitabu

DallyUmba-jnuz
Автор

Asante mungu akubarikii doctor, Niko Riyadh umenisaidia sana, nashukulu,

damanyangwara
Автор

aslm alkm kaka yetu .twashukuru kwa somo twakupeda tuko pamoja nawe shukran.

nafuumatata
Автор

Asante sana mpaka tumeambiwa na konyagi ni dawa. na kama situmii sukari naweza kutumia asali.

lestherusitukanesanasomaam
Автор

Dr MUNGU akubariki sana, Nina shida nikikunywa chai tu bila chochote natabika naomba ushauri

jacklinenyangau
Автор

Umeonja kwa kutuaminixha zaidi barikiwa xana

Valencyanselim
Автор

Asante twakupenda pia dakitari wetu mzuri.

ameria
Автор

Ubarikiwe sana docta, ngoja nitengeneze sasa

aishafrancis
Автор

Kiongozi mashallah, mungu akuzidishie wepesi

fadhilikiyungi
Автор

Asante dokta umeonja kuna mijitu mingine haionyeshi matumizi

cheiknamouna
Автор

Asante dct..maana silali na kifua hichi

irenebeddah
Автор

Mwanangu anakikohozi naweza tumia dawa gani dokt

JosephinaPaulo-he
Автор

Allah akuhifadhi nateswa na kifua kukohoa jmn dah

khadijakhamis