Diamond Platnumz - Ongeza (Official Audio)

preview_player
Показать описание
Get The Song Now! 👇🏻👇🏻

Song Produced By Lizer Classic

Get A Boy From Tandale Album

Diamond Platnumz Booking Info:

Catch Up With Diamond Platnumz On:

#Diamondplatnumz #Wasafi #Ongeza
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Tukumbuke kuvote for wasafi na diamond platnumz, wale wengine waendeletu na Kiki sisi tukifanya kazi😏😏😏, VOTE afrima🙏🙏😘😘😘, love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

bravo
Автор

Alafu anatokea mbwa mmoja anawaambia wenzake Diamond anazingua hajui....Aseee labda baba yako ndio hajui adi akakuzaa wewe🔥🔥 Heshima boss lion

seiphkaira
Автор

Huyu ndo Diamond Platnumz tunaemjua sio wa YoPe amaboko na amagulu
Songwriting 💕Lyrics 🔥Flow ❤️Sound 🔊
Definitely the best song 🌹❤️

TheFusion
Автор

This is the Diamond I knew zile enzi za kitaambo mziki mtulivu unaoyeyusha roho wangapi tunaridhika thumbs up

swashpodcast
Автор

kama unashukurani unamshukuru Diamond kwa mapibnduzi makubwa ya burudani na kuwa bora muda wote usisite tu kutia gumba hapa🙏🙏🙏 God bless you Diamond Platnumz akupe maisha marefu zaidi brother

thrillingpoint
Автор

Tunaendelea kuumiza, sasa hivi tunataka weka nyimbo zetu 10 trending 🔥🔥

Diamond wa mbagala karudi aiseee

juliusmkwiji
Автор

Tofautisha wanamziki na wasanii huyu jamaa ni msanii this is so litiiii mult talented simbaa🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇿🇦

herysomebrown
Автор

Diamond Platnumz nibaraka tuliyoletewa Wananchi wa Afrika ya Mashariki kiukweli kabisa, , , 🦁🦁🦁🦁🦁🦁

warrensantana
Автор

Mond, , Mond, Mond..nakuita mara tatu mfalme wa mbuga ww ndiye mwenye bongo flavor....umetukumbusha vya awali Mond ahsante kwa nyimbo Aiii weeewe...acha tulalame kwanza

halimambwego
Автор

Nani anasoma comments akiskiza hii hit.... I love it already 💞😊

Riyarafia
Автор

HUYU NDIO DIAMOND WA ZAMANI NINAYE MTAMBUA 🔥🔥🔥🔥

donomar
Автор

Upo vizuri, wanaelewa ila wanajitia hawaelewi but wakiwa magetoni wanakusikiliza you a one number afrikan and

shabanikamota
Автор

Vote Daimond for Afrimma in
Best male of East Africa, Song of the year(jeje), best collaboration yope), best act, , , nominations zote yaani

mialanomangobo
Автор

"Wewe ndo wangu yesu mkombozi sasa Petro unaniachaje" dah like kwa platinum kama

fikirijames
Автор

Diamond umerudi mahali ulikuwa zaman!❤🌷ngoja uone mashabik wako wakikubali hii comment!❤❤twakupenda mkubwa

lintymusics
Автор

Old is Gold. Older is Diamond. Oldest is Platnumz. This is fantastic from Simba mwenyewe🙏. Simba akinyeshewa hawezi kuwa paka😊

bakarisebe
Автор

Wafundishe Wasanii na mashabiki wanaosema hujui kuimba unapiga makelele....

Wangp tumewatch hii kitu kutoka
Kenya
Tanzania
Uganda
Nigeria
Qatar
South
Huko kwenu wapi?

elshaarawymuhabesh
Автор

Simba analalamika nyie aseee swty voice vocal Kali Sana aseee.... Like hapa kwa mondi zifike hata 20 tu 🔥🔥✊✊✔️✔️✔️

fabiangodfrey
Автор

Diamond platinums anaweza, ✌️✌️✌️ sasa tufiche ya nini likes za ?latinumz

starfordotwori
Автор

Mungu azidi kunitiy pumzi iyi nita replay 2030

ISBLion
welcome to shbcf.ru