Diamond Platnumz - Overdose (Official Lyric Audio)

preview_player
Показать описание
Get Overdose! 👇👇

Diamond Platnumz Booking Info:

Catch Up With Diamond Platnumz On:

#Diamondplatnumz #Wasafi #music
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Hiii ngoma ni jamani walioipenda hiii nyimbo ❤❤gonga like hapa🔥🔥🔥🔥🙌🏾🙌🏾🙌🏾

khanlaizerdeking
Автор

Hapo Daimond ndo sehemu zako....that is a song 🎵 we need now ....that ys a real ..thank yanakutesa

anicyaedward
Автор

Diamond on 🔥🔥🔥 hii in overdose wanaokubali kua Simba ni King bongo na Afrika like tafadhari🎉🎉🎉

amirinestory
Автор

Nasemaje nasemaje Sanamu lako ulisema tujenge wapi

FutureandShinetallent
Автор

Weeee zombie umeuwa sanaa beat, alafu wetu simba akaangamiza na melody na lyrics za daraja la juu...huu ni moto kutoka Kenya🔥🔥🔥🔥💣

dolics
Автор

Goma kali amapiano, bongo flavor na Arabic flavor muziki chotara, melody bongo flavor yenye upwani fulani

mashramadhani
Автор

Yaani mwaka huu umeamua ni kutupa dose tuuu 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤ tuna furaha sana nawe KING wa AFRIKA 🦁👑

TheStatesmanTV
Автор

Diamond ndo msanii mkubwa duniani kwa sasa💪💪💪💪

bmm
Автор

Sawa mzeee SIMBA kwel umeamua na hii bila ni mvua ya mawe. Mashabik zako tumekukubal na tunakuamin. Mashabikia wa SIMBA🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉.tufurai kwa kulike hp chini.

RashadiMbutule
Автор

Sijawahi kua fan wa diamond lakini hapa weehh….amenioverdose

vladmirdaseal
Автор

Overdose! hii imeenda jamani nasemaje nasemaje wasafi Tujuana Kwa like simbaaa; here we go!

giftmwiba
Автор

Mbona Diamond hakupromote hii ngoma na venye ni kali

kenrifambi
Автор

Bongo fleva ndani ya amapiano this is so nice you are super talented SIMBA

kidatokassim
Автор

Nawapenda sana wote ambayo mtanipa like zangu Mungu awatanguliee kwenye arakati zenu

abekyakashindi-huvg
Автор

Simba utabaki kuwa simba baba wa Tz kimuziki unatuwakilisha vzr mpka kidunia nani asie kujua platinumz shalout sana kizazi sana 👍👋🙏🙏

JohnsonLakeoil-zcuz
Автор

Nakumbuka mpenzi wangu pia alipopata mwingine aliacha kunidekeza 😥😥😥😥
Namwombea Dua halipo 🙏🙏🙏

Okarayoh
Автор

Aliyekupa Hilo jina hajakosea kabisa kweli wewe unashine kama 💎💎💎💎

DawsonSizya-buny
Автор

Simba toka mbuga ya tandale big love from Kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪

JackChildishKE
Автор

That Arab + Indian touch (interlude) 🔥🔥🔥🔥

kelvinprince
Автор

Ndugu yangu wewe unanimaliza Nakutafuta Sana Kenya ukuje tufanye kitu.🎉🎉

KubwimanaJeanMarie-jr