GODFREY STEVEN - LAST BORN ( Official Video )

preview_player
Показать описание
"LAST BORN"
All About the LOVE OF GOD toward Us...

Writter : Godfrey Steven
Singer : Godfrey Steven
Director : Mr.Azalia
Producer : V50
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Nyimbo nzuri San hongera sana kaka ifike mbali kwa jina la Yesu

AJ.mjn
Автор

sema jamaa unajuaga, ni vile wabongo wanakaza vichwa tu mziki mzuri na message nzuri

dodo-jcy
Автор

Napenda nyimbo zako Kaka MUNGU aendelee kukulinda ❤

JoyceJohn-eq
Автор

Napenda melody ya uyu mwamba, mungu akutunze godfrey

goodluckjohn
Автор

Nimebarikiwa na huu wimbo Mungu akutie nguvu🙏😊😍❤❤

KarenMmbone
Автор

Na me ni last Born asnte kwakutow nyimbo yet ma last Born tujuwan jmn💃💃💃💃

lamamyirankunda
Автор

Inaumiza zaidi ya kufariji, asante sana kaka, tunautafuta ufalme wa aliye juu

etiennefwanga
Автор

This song is very sweet 🥰🥰❤️❤️
I have listened to it like ten

jamescarbon
Автор

Kwa utulivu kabisa kaka Mungu akubariki🎉

reeygeazy
Автор

😢 daah sijui imekuwaje, ananipenda sana ndo ninacho jua

SihaGeneration
Автор

MUNGU ananipenda mpka najiona kama last born🔥🔥🙌🙌♥️

Ellywangu
Автор

Huy jamaa huwa anasauti nzuri iko unique❤

blessingcharles-lcrr
Автор

Hakika himaya yangu inanguvu sana natoka kwa nyimbo nzuri

naomikalinga
Автор

My brother napnd nyimbo zako God blessings you

LucyElisha-on
Автор

Glory to God🎉🎉 we are God's Lastborn🎉🎉❤

Daudi
Автор

My brother again! Ooh hallelujah! I'm a last born of CHRIST!!

Simopaul
Автор

Sifa zikurudie milele papa God ❤❤❤❤❤❤❤❤

NaomiSifa
Автор

Nyimbo zako jmn nzur sana mungu akbarki kaz yako

FarajastevetzMpulila
Автор

Kaka bado nakaririi mashairi ya nionyeshe🥰umeleta last born ubarikiwe nyimbo zako tamuuu

PendoJoshua-su
Автор

Ananipenda mpaka najiona mtoto wa mwisho kama Yona wa ninawi

producersindwani
join shbcf.ru