Highlights | KMKM 2-5 JKU | Ngao ya Jamii Zanzibar 09/09/2023

preview_player
Показать описание
Timu ya JKU imebeba #NgaoYaJamii2023 visiwani Zanzibar kwa kuwanyuka mabingwa watetezi wa ligi kuu ya huko, KMKM mabao 5-2 , katika mchezo maalum wa ufunguzi wa msimu, uliopigwa leo kwenye Dimba la Mao tse Tung.....

Magoli ya JKU yametoka kwa Saleh Masoud, Nassor Juma, Gamba Matiko, na Saleh Kalabaka aliyefunga mawili ya mwisho wakati magoli ya KMKM yakitoka kwa Salum Mussa Salum na Isihaka Said.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Nimefurai sn kumsikia kaka mpenja Zanzibar

KhamisHaji-pwjo