Epuka Marafiki Hawa Kwenye Maisha Yako

preview_player
Показать описание
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Am the Best Promise Breaker Na Nimegombana na Watu Sana Dah Nijifunze kutoahidi!!!

adoniaceisaya
Автор

Nimewahi kuwa na rafiki wa hivyo, na aina hiyo ndo wamejaa duniani.Asante kwa kushare

elizabethgodfreytondo
Автор

Asante hai tunao Santa, mhhhh barikiwa 🙏🙏🙏🙏

BabyBhalo-bfex
Автор

Yaan mm sinaga rafiki, na wala sitaki.nikipata shida Mungu yupo.

rosemarysulle
Автор

Asante... Joel hao wa kulalamika kutoka asubuhi kuchukua hatua nao🙏

brackskinyozi
Автор

Duh asanti Sana ndugu kwakuniambia hili hakika umenisaidia mahali

simonmdune
Автор

Asante sana mr joel hapa nimepata kujua rafiki hewa

helenamusa
Автор

Nashukuru sana kwaushauri wako mzur warafiki zangu ambao niliona kwamacho yanyama kama wanafaa ndo wemenifanya masikin kabisa umesema kweli kwa sasa sins lafiki hats mmoja nisaidie nifanyeje.Niko tabora

jainesisamsoni
Автор

Aina nyingine nadhani tuwape jina la nyoka anajifanya yuko pamoja na wewe na anajifanya kua anakujali saana kumbe anakuchunguza ajue udhaifu wako in and out ili akakuharibie na kumtambua ni kazi saana ila nadhani ndo rafiki mbaya kuliko, maana yeye anafanya vyote ataharibu mood yako hata kwa kuchochea upande mwingine ili uchukiwe, huwa anawivu ilopitiliza nk

albinatansanze
Автор

Ni kweli kaka ninaona hao marafiki katika maisha yangu.Thanks kwa hiyo elimu.
Kuna rafiki ninaye kwa kweli bado sijamfahamu vyema kila ninapo mwambia jambo langu la maendeleo, ninapata mda ingine ananyamaza hasemi kitu, mara nyingine nikimwaambia jambo najipata mawazoni ni kama kushanganyikiwa, napata anxiety sijielewi na labda nilikuwa nafanya hilo jambo bora zaidi kabla nimwambie.Naomba nifahamishe kumhusu pia ili niweze kujua vipi nitakavyo handle yeye.

karimikarimi
Автор

Nakushukuru hakika umenifungua ubarikiwe masomo yako utafikiri unaingia ndani ya ubongo wa watu hongera unakipaji sana

AngelMassawe-nzsk
Автор

Nikweli wa rafiki wabaya wapo Asante Kwa Ushauri

hamidaa
Автор

Asante nimejifunza mengi ninao na nitawaepuka

frolalupogompumbavuwewesiw
Автор

God bless u mr duh nimekufatilia more but nakuombea uzid kugundua vng zaid ili unitoe nilipo niende juu zaid.MUNGU AKUBARIKI SAANAH

nangairingson
Автор

Ahsante sana ndugu.Mungu akubariki.
Ndugu Nzanze ahsa n te kwa point yako. Ni kweli.kuna rafiki nyoka kobra.

gracekagoma
Автор

Asante kaka rafiki no 1 no 2 naishi nao kila siku wananipotezea mood sana

rajabukulala
Автор

🙏🙏🙏🙏uko umenena vizuri Broo. Na bado nahitaji mwongozo wako niwe kama wewe au hata na zaidi

shazilitukobole
Автор

Hakika kuna Mungu ndani yko napata somo kubwa mno mno kwenye darasa lako

RachelySanga-tb
Автор

Energy killer mtaalamu dah kupitia video zako zimenikamata sehemu nyingi sana mkuu

gabbymaro
Автор

Sindano ya leo, imeingia vizur sana sasa.nmeelewa namna ya kusimama nao

dottorobert