S2KIZZY KUANZA KUWALIPISHA WASANII MILIONI 4.5 KWA WIMBO MMOJA, ATOELEA UFAFANUZI ‘WANAWEZA’

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Respect kwake zombie .ni broo Ambae anatuandalia mazingila mazuli ya.kiproduction kwa sisi under ground

OskaMafugu-zicy
Автор

Pesa siyo kila kitu. Fikiria, kuna msanii anaweza kuwa na uwezo mkubwa sana ila hana pesa. Angalia kipaji na namna ya kuwekeza kwa mtu ambaye unajua kabisa huyu anastahili muda wangu na juhudi zangu kisha ingia naye mkataba wa maana halafu fanya naye kazi utapata pesa. Do not limit yourself !

ikabako
Автор

Kwan ni wasanii wangap wanashoot vdeo za million 30??

vibetz
Автор

Hiyo ni studio session au ndio copyright

LyonWalker_