BOSI TRA AMUIBUKIA BILIONEA MULOKOZI ALIYENUNUA HELIKOPTA BINAFSI - APEWA TUZO ya HESHIMA...
Комментарии
Hon̈eraaa sana David wa jina la Mwanangu Mungu aendelee kukuinua źaidi na zaidi
MARYLembeli
Mungu amzidishie huyu jamaa na mimi pia nipate
omarishabani
Safi sana kwakweli tuchape kazi kumbe haya mambo yanawezekana
tambilainvestment
Safi sana . Ila jammi hatupaswi kujua kila mipango yako. Hiyo inaweza fungua mlango kwa mengi ambayo sio chanya.
BenWerner
Hongera sana ndugu mungu akuzidishie mungu ana mpa. Amtakae
zaidihussein
Kweli broo, unastahili kuwa na mafanikio coz unajituma#akili nyingi xnaa, , 😊😊😊
jossporahmsw
Mungu hakulindi akusimamia Ubarikiwe uminifu umakini na bidii ndio mtaji mafanikio maisha kujipanga kusubutu sio haraka haraka wasaidia kaka yangu wajifunze umekuwa mfano mzuri hongera sana
DpN-rkxz
Tanzania 2kiwa na wa2 kama hawa 10 tu 2tafika mbali Mungu mjalie apate zaidi huyu mtu na mmi pia
IlyasaJuma-ccee
Mhaya anakwambia kilakitu nirahisi ukiamua 🎉🎉😅😅
elidiustudoy
safi sana naomba unisaidie ununuwe heka zangu zipo kisarawe dar ni heka hamsini
lizymwakyusa
Congrats sana ... dah! inabidi nitafute pesa :!
hassanmwemba
Boss wangu kwaiyo saizi mizigo ya kwenda swanga uniletei
agentchidisautimbaya
Sasa naona matajir wa tz wanaanza kuwa siriaz sio kuzijaza pesa kwenye mabox then unatamba una hela
Asamtz
Jamani jamani eehh tanzania tunashida gni sisi kilkitu diamond diamond, hebu tmwach home boy apumw jamani
MrishoFadhili
Hongera sana kwa uthumbutu mwenyezimungu akupe hekima zaidi
jumamene
Nataka niwe kama wewe lazima kufanya kazi Kwa bidii na kumtanguliza mungu
AsungaSteven
Mh waziri wa miundombinu, naomba mpe kibali cha kujenga uwanja wa ndege. Sio lazima tusubiri wachina tujifunze kutegemea watu wetu.
christopherjoseph
Kiwanda cha uzalishaji pombe kali, faida kwa jamii ni ndogo sana ukilinganisha na madhara. Pombe inamaliza vijana
saidseleman
Sawa jamaa wa Dareda na mimi niko Sogino nakuja kuchukua ujuzi
FatumaMombo
Serikal mpen nafas azd kuwekeza shida serikl pia inatamaa na vitu ambvyo hawawez kufanya kwa harka mpen iyo kaz ajenge uwanj chukuen kod zenu