TEMPERATURE OF LOVE

preview_player
Показать описание
hellow!!!wellcome to my official youtube channel HEMEDY CHANNEL....HERE YOU WILL SEE ALL MY MOVIES,BONGO MOVIE TANZANIAN MOVIES....THANK YOU
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

ahsanteni mashabiki zangu🙏🙏🙏🙏nawapenda sana msisahau kusubcribe hii channel ili munipe nguvu ya kuwaletea kazi nyingi zaidi😒sapport zenu ni muhimu

hemedychande
Автор

Kazi nzur chande wanaompenda chande tujuane kwa like😂😂❤❤🎉🎉

DeboraConstantine-opnt
Автор

Any Kenyans 🇰🇪🇰🇪 in the house 🏡 lets congratulate our bro here for good job 👍 tunaikubali sana broo endelea hivyo hivyo ♥️♥️

DamarisDammie
Автор

Wa kwanza toka KENYA GEN Z mombasa nakukubali sana mr hemed chandi hauna tofauti na hemed suleiman phd big up sana mazeee

SnappyChristine
Автор

Eehh Hey amkeni jamaniiii watu wangu like hata kumi na maua ya DJ ❤❤❤❤🌹 🥀 🌹 🌹 🌹 🌹 🎉🎉🎉❤❤titre inaonyesha utamu wa mafunzo hapa 🎉🎉❤❤my brother thank so much hujawai kuniangusha nakubali acha niketi kwa utulivu🎉🎉❤❤❤❤❤❤

emilyKay
Автор

Huyu chande nampenda sana❤❤ yaani kazi zake ni safi, nakuombea mungu akulinde hemedy chande🙏🙏

paskalinapa
Автор

Wa 4 leo kutoka Mozambique Msumbiji ❤❤, kazi nzuri 🤩

Loidydaleobina
Автор

Napenda kuwa muigizaj wako siku moja hemedy ❤❤

pdyoomd
Автор

Dah kusema ukwel Nime miss wadau wako wa pazia ❤

official_kingnabiryOg
Автор

Nimerudiii Nyumban hii ndio kalii kuliko❤

CollisBill-muzp
Автор

Ila chande bwana movie 🎥 zako huwag zinaisha kabla ya hamu kuisha kuitazam it’s me once again a girl from burundian🇧🇮🇧🇮🇧🇮🔥😘😘

Kentianmanirakiza
Автор

Mepia natokea kenya nimfwatiliaji mzuri sana familiahii❤❤ nawapenda wote

thommasemanuell
Автор

Daah mwana umezingua ugeendeeleaaa ata

oujpugz
Автор

Vzur nimependa hii video mashallah 🎉sweety story

ShaymaaSule
Автор

Ukikiona chanini wenzio wanasema nikipatalini😍😍nice move, god bless all character❤❤

NasraJuma-bv
Автор

Congratulations all Artist whose made it coz you make me happy, salute for you!👏👏👏👏👏👏

shafiiomary-qpwf
Автор

Kutoka Burundi 🇧🇮🇧🇮 Niko nyuma yako hemedy

havyarimanaemery
Автор

Hk hii movie hta sichoki kuiangalia kweli haya hutokea Kwa wengi wetu 🎉🎉🎉, , ,

IssaAbdillah
Автор

Kuna wanaume wanafanikiwa kupitia wanawake wanao ishi nao jmni eeeehhhh ❤❤

MwanakombomohammedKimbonja
Автор

jamn mbn hamleti chombo kingine napenda san kazi zako hemedy

KipalaChampwinto