Najua

preview_player
Показать описание
Amos Mwijonge,,,,,,,, from Unlimited Professional Trainers,,
A motivational Spoken Word directed by Erick Dickson,,
Sound by Naxipapy
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Daaaah hakika kila mtu na kazi yake aliopewa na Mungu kuja kuifanya hapa Duniani...

mtamaduni
Автор

Pesa pesa nikwel ndo sabun yalohoo kak napend kaz yako munguu akupe maisha malef

DeoAmossi
Автор

*tabia za mtu hazibadilishwi na pesa nimeipata Sana hiyo Mr. Mwijonge*

ibrakyambo
Автор

Umenibadilisha sanaa broo may God bless you

edwardmwaringangowa
Автор

Mungu akupemaisha marefu ilituzidi kujifunza kupitiawewe💯💯

ObediLaule
Автор

Mwalimu Amos Ebrahim mwijonge ... Philosophy

GodfreyShirima-tn
Автор

Hongeraaa kw Kazi yko nzuriiii mwalimu

ChristineApio-lf
Автор

This is pure wisdom Mwalimu, Mola akuzidishie🙏

dennismwai
Автор

Hakika napata shule.
Keep going mwl.Amos Mwijonge

Borntown
Автор

Mashairi Yako Kwanza lile la haya mambo hayana ubingwa Lina mafunzo kweli

athanusmutua
Автор

Asante sana professor. Much love from Kenya

charlesmuthee
Автор

Oyaa na Mimi leo mnipe like zote hapa😂

HassanMunyungwa
Автор

Yani inanikumbusha maneno yako yanao sema pesa si kilakitu

asumantsongo
Автор

Pesa lazima itafutwe kwa namna yeyote ile, nakubaliana nawewe mwalimu, kwani najua nacho kifanya"

gmwene