NAJUA YUPO

preview_player
Показать описание
Nawakaribisha Kusikiliza na kutazama wimbo huu.

Wimbo: Najua Yupo
Mtunzi: Hendry P. Kimario
Mwimbaji: Trizah Matu
Audio & Video: RAJO Producdtions
Instrumentation: Ray Ufunguo
Directors: Ray Ufunguo & Patrick Donge
Makeup Artist: Catey Makeup

Mungu azidi Kutubariki sote
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Wimbo mtamu sana. Hongera Trizah, Hendry and Rajo Productions for this lovely work!👏👏👏👏👏

anastaciamuema
Автор

Hongera Sana solo wangu big up Sana unajua Sana🔥🔥🔥🙏🥰

MeshackAudax-bvxu
Автор

🎉🎉🎉🎉❤ najua yupo Mungu anaye nipenda, ,aliaidi nikimtumikia, ,sitaanguka maana yupo upande wangu❤

sylviahslyelvo
Автор

Wooooh😊😊😊🎉🎉Likes kama umeupendaaa wimbo huu❤❤

kipawacrew
Автор

YESU yupo na ni ngome imara daima ❤😇😇😇

batistamngullu
Автор

Vile nilikua nimesubiria huu wimbo😊😊Hongera Sana T🎉❤

abigaelmumbua
Автор

Mtu akiwatch mara mia moja anakaa kwa tent gani 😂😂😂😂😂❤❤❤❤

marymalikamalkiathepsalmis
Автор

Can't stop watching this song, very lovely ❤

cleophaslimo
Автор

This song is soo nice waaaah congratulations 👏👏👏 keep it up 👏👍 keep going

winfidepurity
Автор

Hongera Sana Dada .... Hongera pia kwa mtunzi Super @Hendry @Kimario tungo tamu sana

sundaymazigo
Автор

🎉🎉🔥🔥 Congratulations 🎊 👏. Mungu yupo..tamu sana..

fredrickmwendwa
Автор

🎉🎉🎉🎉🎉🎉 Triza wimbooo mtaamu, sauti tamu, hakika Najua yupo, true words ALIAHIDI NIKIMTUMIKIA KWA UAMINIFU, ATONIACHA ATANIPIGANIA KWA KUNIONGOZA.... HONGERA DADA🎉🎉, Mungu mbele

Lizkitonga
Автор

Perfect everything, anyway, what can go wrong where Ray Ufunguo is involved? He is the 🐐

chrismwembi
Автор

Najua yeye pamoja nami🎉🎉🎉 congratulations ninyi nyote.

Paul.
Автор

Kazi nzuri Trizah👏👏👏 congrats👏👏

Arusha Elites maids u are amazing🙌🙌🔥🔥

ediphoncendakidemi
Автор

Kazi njema, ujumbe mwema mno, asante dada. Baraka tele 🎉

Nyagsz
Автор

Wonderful song my friend
This is so great…
Congratulations 🎉🎉🎉🎉

nicholas_mango
Автор

cant get enough of this song.... the high registers give me goose pimples everytime

nicholasomondi
Автор

Wonderful singing Triza continue blessing my soul

benstevendollo
Автор

Wow my sister. Kazi safiiii🎉 mingu azidi kukubariki sana

EdwinOhuru