KICHECHE TT Comedian Episode 134

preview_player
Показать описание
TT Comedian_

Kenya's youngest Comedian.
It's about: Comedy Laugh's.

#TTcomedian #tt #LadhayamtaTv @chikunde254 @ TT Comedian
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Aki tt leo umepatikana umepigwa na kitu kizito leo umepatikana

ElizabethMapunda-oqsi
Автор

Ei TT anataka akuwe mtoto mzuri na aje kuwa pasta🤣🤣🤣🤣😂😂😂🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

jaxmkada
Автор

Weeh eti huwa mwaona ngombe moja moja hizi n za maasai ziko mingi😂😂

davidmwithalie
Автор

Wuuuui aki TT ata ng'ombe ni 🐂🐂🐂🐃 wanyama kwani iko leo utajua ujui

sarahm
Автор

Wow nabambika sana na videos za TT nampenda sana nikiwa Tanzania

mikaeljoseph
Автор

TT nimtapeli sana hata dereva alichangia tt kupigwa

shifrahbeibe
Автор

😀😀😀 Aky Tt your wisdom is another level..jameni wanyama ni ngombe

faithwachira
Автор

😂😂😂TT comedian nakupenda kbx, mungu akupe Maisha marefu 😅😅😅😅😅😅😅😅

midialukombo
Автор

AK huyo mtoto unataka kukoni hata wanafunzibwrnzako jamani kutoka KWA wazazi

MOSEEVERLINE-uv
Автор

Nimegwama hapo kwa bado ile ndoto ya kuwa pst iko😂😂😂 much love ❤❤❤Tt

charitymasai
Автор

TT good job keep it up. Mimi hapa nazeeka nasijafanya anything kwa maisha yangu 😂😂😂😂

gloriaamase
Автор

Hahahahaha TT sijui what I wil ever do mimi

mjukuu
Автор

Ati ndoto ya pastor bado hiko...😂😂😂😂 tt spare my ribs

elizabethnduku
Автор

😂😂😂😂😂😂wah huyu kweli, ni huyu ni mkora, eti unataka kuwa pastor?😁😁😁

oduormourice
Автор

Eeh tt nani alikufunza hii ukora yote ATI ngombe za maasai😂😂 na ukapigwa ju ya ukora change your habbit bana😅

MarionWanjala-oxm
Автор

Nataka kuwa mutu muzuri bado hiyo ndoto yangu yakuwa pasta ipo😂😂

corneille
Автор

Titi we filmasoon kweli napenda unavyo igiza

NarcisseMugisha-fy
Автор

Tt kweli unawapeleka wazio waone gombe za wamasai

ElizabethMapunda-oqsi
Автор

Eti ule jamaa alisema akieka bibilia chini kitatendeka nini😂

GovernorChebusiri
Автор

Kijana kwani Leo umevinywa pambaya juuu hiyo walking style 🤓🤓🤓

cephasmwaniki