Rayvanny - Hongera (Music Audio)

preview_player
Показать описание
Follow Rayvanny On:
Snapchat: Rayvanny chui
Tiktok: Rayvanny_chui

Produced by Trone

For Bookings:

#rayvanny #hongera #music #NextlevelMusic
Copyright ©2024 Next level Music. All rights reserved.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Hongera sana mama Kama sio ww singekuweko niliko❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤wapy likes za mama mzazi❤❤

GriphineJonesGriphine
Автор

Hongera chui mwenyewe 🎉🎉 this is how ex girlfriend have to be treated.. thanks for a great recognition ❤ wakenya tuko wapi nipe likes 🇰🇪🇰🇪

wizdomekiarambe
Автор

Vionjo Sara ya mac umeviskia weka like👍 hatari sana 😃 more love chui

officialquochezdonshwari
Автор

I wish Wemasepeto naye mngu amukumbuke amubaliki katoto wasani wote watowenyimbo kwajiliyake za kumupongeza kamahivi 😔 congratulation paula 💕

uwimanacitegetse
Автор

Mungu awaone wanaotamani kupata watoto mtoto Raha Sana,

vtvdrhu
Автор

Hivi ndio Ex mnatakiwa muwe. Sio paka na panya. Hongera paula na Asante Rayvanny kwa wimbo huu special

Blesseddaughter
Автор

Wakenya wote tumefurahii sana rayvanny kwa kumpongeza paula

CollyBendera-jzbt
Автор

Daah jaman hii nyimbo inanilenga maana mke wangu kujifungua Leo tarehe 15 ❤❤❤

amosmacompyuta
Автор

Wow 👏, hii nyimbo nimeisikiliza mara 100, mwamba unajua 😅😅🎉

brunojewel
Автор

Break up doesn't mean there should be jealousy and hatred ....congrats vanny boy..this is the real meaning of gentleman👊👊👊

DolphinAdola
Автор

This generation can do anything.... Sisi wasanii MUNGU atubariki....👍

starrayboyofficial
Автор

Hatuna kinyongo kabisa ndo maisha yanatakiwa yawe ivyo 💘

aminakuboja
Автор

Huyu kiukweli anampongeza Paula🥰🥰🥰ama vipi wadau akili ya kufikiria mbali atajua amemuiimbia Paula❤❤❤❤❤

cnkdwhu
Автор

Thank you Rayvanny you brought this song when I needed it the most, it's a dedication to my wife, it's my birthday and my wife has delivered today. Thank you to GOD

siogopisiogopi
Автор

Nani ahaisi hii nyimbo ni special Kwa Paula kama nihisivyo mie 😅😅, mwamba huyu rayvanyJUX!!

tumkithemr
Автор

Special dedic to my beloved wife journey to delivery ya my first born.feels like its sung for me.naomba likes

omprifg
Автор

Hongera nyimbo zuri sana kama unaipenda kama mimi basi nipe like

djpaulsonpkbchui
Автор

Hongera Paula 🎉🎉🎉 hongera sanaa kuwa mama kitu special 😂😂😂 kama alivyo kupenda kajala mpende mwanao 😅😅😅🎉🎉🎉❤❤❤ sikuizi ex ni friends tuu hakuna chuki

abigaelmideva
Автор

Always Kenya being in love to Tz ❤❤❤❤❤❤ nakupenda Sana Rayvany

dominicomari
Автор

Big up sana ndugu yangu kwa kumupongeza Paula inaonesha kama aunakinyongo naye bali unamutakia mapenzi Bora na isiwe tu kwa mitandao pia nisema Asante sababu sio kila mtu mwenye kuwa na upendo na roho kama yako shukrani

faustinmasu-mzcq